Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
UkimalizaMwendelezo lini?
UkimalizaMwendelezo lini?
PotezeaNdo age hipii hiyo
Hahahaaaa inabid uwe unasimulia....ha hahahaha, huwa naangalia wikend yote jumla.
Nimerudi mjukuu wangu.... Si unajua babu yako ni kapuku... Kwa hio kuingia chaka muhimu. [emoji16]Missed u too babu [emoji8] naona umerudi
AminaSame to you ubarikiwe
Vp kwani Lyon LeeMama d
Kipenziiiiii rafikiiiVp kwani Lyon Lee
Rafiki kipenzzzzzKipenziiiiii rafikiii
Siku nyingiiiiiiiiii sanaaaaRafiki kipenzzzzz
Asante my dear kwa story ubarikiweMama naweka story usome
Bila shaka Obe....akisoma atakuja kunisimulia maana mimi huwa nasoma jumamosi
HahahahaEbu niambie huwa anakusimulia wapi
Hahahaha...mambo ya wakubwa mtoto kaa sebuleni uangalie The Promise
Marahaba mzima my daughter ubarikiwe mumMom shikamooo[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kaibuuu nzamisi kishambaa [emoji3][emoji3]Nimerudi mjukuu wangu.... Si unajua babu yako ni kapuku... Kwa hio kuingia chaka muhimu. [emoji16]
[emoji120][emoji120]Asante my dear kwa story ubarikiwe
ShikamooAmina
[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7] miss uMarahaba mzima my daughter ubarikiwe mum