BabuWana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year
Mjukuu mweeBabu
Miss you too mjukuu mweeMiss u babu
Babu yangu jamanWana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year
Wana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year
Missed you mjukuu wanguBabu yangu jaman
Thank you ObeAsante sana mdau, ni furaha kukuona na kukutakia 2018 yenye mafanikio, afya na furaha
HiHello
Missed u too babuMissed you mjukuu wangu
AminaMungu mwema vidonda vilipona mwez wa tatu sasa sijasikia chochote...
Binamu asanteeMuziki: Huhitaji Leseni Kuendesha, Funga Mkanda
Maisha yanakwenda kasi sana, kataa kubali maana sijauliza swali ujibu ndiyo au hapana. Ukweli unabaki kusimama muda wote na uongo hata ukisimama si muda mrefu utachutama kabisa na kwa aibu kubwa. Ninakusalimia wewe Kapuku ambaye unalifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kuwepo, nipo kwa sababu wewe upo. Asante sana.
Nilikuwa najisomea gazeti na nilivutiwa na katuni, yeah, ninapenda kuangalia katuni na kuzisoma, huwa zinawasilisha ujumbe kwa maana kubwa sana. Sote tunajua kuendesha kiuhalali kunahitaji kwanza upitie mafunzo (namaanisha kuendesha barabarani), upate majaribio na kisha ndo unaruhusiwa kukata leseni, hapo utaitwa dereva kamili na una nafasi ya kutumia barabara pamoja na watumiaji wengine. Lakini si kila anayeendesha kaipitia hizo hatua, wengine unakuwa umekula mlo mbaya na unasikia leo ninaendesha na sifungi mkanda kama dereva mwingine na ninapoendeshea nakuwa peke yangu nguo ya ndani magotini
Muziki sasa, furahia muziki maana kesho ikimpendeza Manani ni furahiday
Mama shikamoo unaendeleajeAmina
SalaaamKapuku wote salamu
Same to you ubarikiweWana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year
Marahaba Mimi mzima wewe jeMama shikamoo unaendeleaje