Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Uko Hapa Kama Sehemu ya Ufumbuzi Au Tatizo

....kuna misemo mingine bila kuiangalia kiuhalisia unaweza ukadhani ni ya kweli. Yeah, mfano, haraka haraka haina baraka, mwenye shibe hamjui mwenye njaa, kutaja michache. Ukikaa chini na ukatafakari kwa jicho lisilo na upande (objective eyes) utagundua kuwa misemo hii inauhasi na uchanya kwa kulingana na vitu kadhaa. Wote tunawajua hata kama sio sisi, tunapokuwa tumeshiba basi ndo wakati wa kuwakumbuka wenye njaa na hatuwaachi wenye shibe wenzetu wapate njaa. Hapa nawaongelea wenye shibe walioamua kusitiri matumbo yao sio wale wajinga ambao wanashiba, wanavua mashati na kumtambishia Mungu vitambi vyao.

Mwaka bado mbichi kiukweli na baadhi yetu ndo tunajipanga kurudishia pale ada za watoto wa shule zilipokwangua. Shule zimefunguliwa leo na ni hekaheka tu. Shule ina raha zake, kama wazazi, walezi na vyovyote vile basi tuungane na walimu wote katika kuhgakikisha vijana wetu wanapata elimu nzuri itakayowawezesha kutatua matatizo yanayoikabili jamiii nzima.

Muziki sasa, nimesema tushirikiane na walimu kuwapatia vijana wetu maarifa ya kutatua matatizo yanayoizunguka jamii yetu. Wasitoke shule na kuwa sehemu ya tatizo hata kama wataonekana kuwa na madaftari yenye vema za kutosha. Waje kwenye jamii wakiwa na ufumbuzi (solvers not cheaters). Sio kuja mtaani wakijidai kujua bila kuwa na ufahamu wowote kama mdau wa JF ambaye anaamini kabisa hapa MF hakuna la maana linaloendelea, ninamchukulia kama mtu mwenye nguvu zake anayeishi kwa msaada wa serikali na kwake mafanikio ni kwa wengine wafanye kazi ili yeye apate msaada zaidi (a pauper).

Asante Obe Ubarikiwe muziki mzurii
 
Asante Obe kwa music bora kabisa
 
Kwa Ufupi, Tena kwa Kuchelewa

Tarehe kama ya leo, Jan 08 mwaka 1324 Marco Polo, mfanyabiashara wa Kiitaliano na 'mtembezi' mwenye faida alifariki.

marco-polo-9443861-1-402.jpg

Gwiji wa sayansi, mahesabu na masuala ya anga Galileo Galilei, Muitaliano mwingine kama Marco Polo alifariki dunia Jan 08, 1642

galileo-9305220-1-402.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom