BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ngoja nisome tena...usilielezee kwa maneno yako, lielezee kwa maandishi yako mwenyewe
Ngoja nisome tena...usilielezee kwa maneno yako, lielezee kwa maandishi yako mwenyewe
ZABURI 4
MAFANIKIO UTAPATA VIPI WAKATI UNAKAA KWENYE NYUZI KAMA HII ILIYOJAA UPUUZI NA UMBEA..BADILIKA KIJANATuwe na wiki nzuri yenye afya na mafanikio kwa kila tunachofanya.
Kwanza kabisa, karibu sana Makapuku Forum, na Heri ya 2018!MAFANIKIO UTAPATA VIPI WAKATI UNAKAA KWENYE NYUZI KAMA HII ILIYOJAA UPUUZI NA UMBEA..BADILIKA KIJANA
Ukapuku huanza kichwani kama mlivojikisanya kwny uzi huu..yaani hamna tofauti na misukule ya ushirombo..badilikia mzee bado una nafas...oh! Sikujua hili, asante sana kwa ushauri. Kwa kuwa umekuja kwenye huu uzi basi nategemea utashare mafanikio uliyoyapata kwenye 'nyuzi' tofauti na hii.
Niwie radhi pia kwa kutodadavua maana ya mafanikio. Kwa kuwa unaonekana kuwa na mafanikio hebu share basi nami ili nibadilike mzee mimi niwe kijana kama wewe
Ukapuku huanza kichwani kama mlivojikisanya kwny uzi huu..yaani hamna tofauti na misukule ya ushirombo..badilikia mzee bado una nafas
Amen UbarikiweTuwe na wiki nzuri yenye afya na mafanikio kwa kila tunachofanya.


Asante Obe, nawe piaTuwe na wiki nzuri yenye afya na mafanikio kwa kila tunachofanya.
Sidhani kama atarudi tena...interesting! sikujua kama mtu anayejua mafanikio anaweza ijua misukule ya ushirombo!
Kwa kuwa ukapuku huanzia kichwani, basi nikisema utajiri huanzia kichwani nitakuwa sijakosea, sawa!
Sasa wewe unayeona hapa hatuongelei mafanikio, unaweza kuwa na sababu ya wewe kuja na hitimisho la kunishauri mimi mzee nibadilike? Yaani uchaguzi wangu binafsi wa kuwa hapa unakuumiza roho wewe, ajabu sana.
Jipe nafasi, toka kwenye hisia usake uhalisia wa Makapuku. Usiyafanye maisha kuwa magumu sana kwa kuimba mashairi ya kina Tambalizeni na kukaririri vitabu vya nguli Topan (1971).
Mimi kama mimi nimeamua kuwa hapa na kujiita Kapuku ni hiari yangu, shida yako kwa hili inatoka wapi? Au unajiona kama nabii uliyekuja kuni'komboa'?
AmenTUOMBE:
Baba Ni Asubuhi nyingine ya JUMATATU
tarehe 8 JANUARI 2018 Tunakuja mbele zako Tukikushukuru umetuamsha salama Kaa nasi Baba karibu Roho Mtakatifu siku ya leo Utawale Utufundishe Utuombee Utupe Ujasiri Utufariji Utuongoze
Tunaomba Msamaha Baba kwa lolote ambalo tumekosa mbele zako na mbele za wenzetu kwa Mawazo kwa Maneno kwa Matendo na kwa Kutotimiza Wajibu mbalimbali.
Nasi tunakuomba utusaidie kuwasamehe wote waliotukosea Walioomba Msamaha na ambao Hawajaomba Msamaha tupate kusamehe na kusahau kabisa
Walinde Ndugu Jamaa Marafiki Watoto Wasaidizi wetu wa Majumbani na Wote waliopo popote ulimwenguni waijue kweli UPENDO ukatawale
Wafunike na Damu ya Yesu Wasafiri wote Majini Angani na Nchi kavu
Waponye Wagonjwa Majumbani na Mahospitalini ponya Dawa wanazopewa watie nguvu wanaouguza wasipungukiwe Baba
Tunawaweka mikononi mwako wenye mapito mbalimbali waangalie Baba asante kwa kuwaimarisha kiroho.
Wafariji wenye shida mbalimbali Yatima Wajane Wagane Wenye Uchungu Wafungwa Mahabusu Waliotelekezwa Waliokata tamaa Wanaotafuta Watoto Wanaotafuta kazi Wanaotafuta Wachumba Wapweke Mfalme wa Amani ni wewe peke yako Baba tunakutegemea tunakuomba ulinzi wako utuzingire
Uwasaidie wenye migogoro na waajiri wapate kibali na wapate haki zao na Baba ukawape Kazi nyingine isiyokuwa na migogoro
Baba kaonekane kwa kila mmoja wetu tunakuomba ukabariki kazi za Mikono yetu sawasawa na Mapenzi yako ukaguse Ujasiriamali Ajira Masomo Mashamba Mifugo Biashara Tukakuone Baba yetu
Tunaomba wabariki viongozi wa Kiroho Huduma zisonge mbele na viongozi wa Serikali wakutafute Baba watende haki Nchi iwe na Amani.
Baba tunajua unatupenda sanasana utatenda sawa sawa na Mapenzi yako Amen
Tunaomba kwa Jina la Yesu Amen SHALOM DAMU YA YESU ITUFUNIKE![]()