Makapuku Forum

Kuelekea kuumaliza mwaka 2017
Ndugu zangu wana kf mmekuwa watu wema kwangu nikiingia najickia amani coz mmekuwa kama ndg kwangu sometimes nje ya jf maisha yanakuwa full stress lakini ninapokutana nanyi naona kama nmepunguza mzigo hivyo nitumie wasaa huu kuwashukuru wote na kuwasihi muendelee na moyo huu kwa mwaka tunaotarajia kuanza hapo baadae
Shukrani za pekee zmuendee my hubby Shululu aka baba wawili
Mwisho ombi kwa binamu Obe nichagulie kibao kizuri kicndkize salam hizi za mwaka mpya kwa wanakf
Nawapenda sana

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…