lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
I love u honey!Usijali baby
I love u honey!Usijali baby
Basi usimpe adui nafasiWivu muhimu. Ndo sielewi elewi hapa
UmeponaNiko pouwa kaka sijui wewe?
Ila MNA moyo saana kwann hujahama timuBado kutuita snura fc
abiria chunga mzigo wakoUmeanza kudandia mali za watu.
NimekusameheNisamehe bure shemeji.
Kuna siku nilichelewa kurudi nyumbani!dingi akanikata stick nyingi sana akaniambia hakuna kula mchana!mtembezi hula miguu yake,afu mama ndio alikua anaepua maharage jikono na kitu cha wali kilikua tayari chini kinanukia hatari!!haya bna nikaenda kulala kwa huzuni kubwaaa sana huku tumbo likinguruma kwa njaa!!watu wakala wakamaliza mk nikajipitisha ili hata mzee anionee huruma nile lakini wap!!Nikashangaa mama ananiita kwa Hasira,We kuja hapa Pumbavu wewe Chukua hyo ndoo hapo uende ukachote maji!!nikazidi kuumia kuona mama nae ananipa kazi na njaa yote ile!!basi nikasepa kinyonge nikiwa njiani nikahisi kwenye ndoo kuna kitu kufungua hivi nakutana na bakuli kubwa limejaa Waliiiiiikwanza nililia kidogo kwa furaha than nikaula fasta
nani kama mama? Nauliza tena nani kama mama??????
Happy mama's day
Send as received
I love you too babyI love u honey!
Mali za wwkongwe lazima tuzidandieUmeanza kudandia mali za watu.
Ila MNA moyo saana kwann hujahama timu
50Mim natala zaidi
La river sideDaraja gan tena mkuu?
Team majangaBado kutuita snura fc

Pamoja mkuu.Hapa ndio kwetu...lazima tuwepo
asante kwa ujumbe maridhawa