Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Nimemuona, kaja muda muafaka.Kwema, umemwona rubii?
Nimemuona, kaja muda muafaka.Kwema, umemwona rubii?
Yaani my wii hapa nilikuwa natafakari,Njema pia,
Siku inaisha hivyo na kesho ni jumatatu![]()
![]()
![]()
![]()
Naona unamrembulia rubii, huyu ni msiri wangukaribu mrembo
karibu mrembo
Mpeane viwili alfajiri ndo uamkeYaani my wii hapa nilikuwa natafakari,
hii baridi ya huku kwetu halafu kesho ni jumatatu issue ya kuamka mapema ni utata
Nataman kesho iwe jumasosi
Bado,Mmemaliza 40?
Chukua kwa pastorAsantee mpendwa et fomu za kujiunga zinapatikana wapi
Karibu mremboHodii wapendwa hodii
itakufaaHahaha...kuna tatizo kwani?Naona unamrembulia rubii, huyu ni msiri wangu
angalau leo nitachelewa kulalaAsante nimekaribia mie
Ni poa sanaaaoi niaje wakuu..
Zipo kwangu, nikupatie? tena wewe ni bureAsantee mpendwa et fomu za kujiunga zinapatikana wapi
safi mkuu, mambo vp?oi niaje wakuu..
Aisee rambirambi yangu ulifikisha?Bado,