Hahahah... Dp yako WhatsApp...
Nimewamiss humuKaribu mkuu
Sawa
Usiku mwema Makapuku, na kama usidhani nitaacha kuweka muziki wa Krismas. Leo zamani kidogo lakini bado ladha haijakwisha. Vipi, mmekamilisha manunuzi ya sikukuu, au ndo mambo yetu kina sisi wazee wa zimamoto
Ngoja mwenyeji wangu akuje Lyon Lee
Kweli Yesu kazaliwa, merry christmass na wewe pia na makapuku woteHeri ya siku kuu ya Christmas wana familia wote wa kapuku.... Yesu azaliwe mioyoni mwetu!!!!
Amen mama mchuchu, ubarikiwe na uwe na christmas njemaMAOMBI
Yesu Tunakushukuru kukubali kuzaliwa ndani ya Mioyo yetu. Kwa ajili yako tumefika hadi siku hii ya leo. Karibu ndani ya Mioyo yetu wewe uliye mkombozi wa ulimwengu, mshauri wa Ajabu,Baba wa Milele na mfalme wa Amani. Utulinde na kutuongoza ili vitu vipya vya Kiroho vizaliwe maishani mwetu tuishi sawa sawa na kusudi lako. Ni katika Jina lako Yesu tunaomba Amina.

Hope umeimaliza salamaYaaani watu wakienda kula siku kuu ndo wanasusa na jukwaa
KhaaaaaHope umeimaliza salama
Mtaa wa pilii andaa pipa la maji
Wafanyeje sasaYaaani watu wakienda kula siku kuu ndo wanasusa na jukwaa
PouwaaaHope umeimaliza salama
Mtaa wa pilii andaa pipa la maji
Hata weweeeWafanyeje sasa
Huyu sio wa YoungbloodAsante Shunie wa Lee
Maka upoooHabari za asubuhi jamani.. boxing day njema.. ila muwe makini tu ndugu zangu msing'oke meno.. maana wakina mayweather kila siku wanatoka meno katika boxing..
Kama unaweza jifungie ndani, maana naskia eti boxing day utakae mkuta mbele yako ni mwendo wa kurushiana ngumi tuu.
Mimi jaman nimefanyaje tenaHata weweee