Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Shika yako kwanza mkuuMkuu si unajua sio heshima kuingia afu nisisalimie wakubwa.
SHIKAMOO....
Shika yako kwanza mkuuMkuu si unajua sio heshima kuingia afu nisisalimie wakubwa.
SHIKAMOO....
Nipo poa mondray sijui weweHabri
"Shunie"
Waendeleaje Shemeji/dada yangu
Basi itakuwa mtandao, au halotel umeiset busy?Sijapiga wala kupigiwa
Nipo poa mondray sijui wewe
Kwema kaka...Habari
Transcend
Habari za jioni Kaka
Ubwabwa mm sipo mjini nipo huku kijijini na Lyon Lee amenichukua tuje tule sikukuu mkuu akija ngoja nimwambie akukaribishe na wewe
Hapana shemela sijaiset hivyoBasi itakuwa mtandao, au halotel umeiset busy?
AmeenAshukuliwe Mungu
Poa za weweDuuh , haya
Mambo VP mkuu
Nasubiria mwalikoUbwabwa mm sipo mjini nipo huku kijijini na Lyon Lee amenichukua tuje tule sikukuu mkuu akija ngoja nimwambie akukaribishe na wewe
Kwema kaka...
Habari za wewe joh
Kwema kaka
Krisimasi jamani tukutane Tunyemwe soda pamoja Members wa humu
Basi itakuwa mtandao, au halotel umeiset busy?
Maandalizi yako poaSafi, vip xmass huko
SawaWatakuja tu huko huko wakina lyon