Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Hivi we si shem wangu auUjue kasema viben 10 hatak
Hivi we si shem wangu auUjue kasema viben 10 hatak
Mfyuuuuuu hivi lile gundu lako kimekuisha la kuchunwa na madada na kuwakula huwakuli'Ujue' [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Don't have an appetite!!! Thanks anywayTwende lunch mama wawili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mtu ukipendwa you don't careMfyuuuuuu hivi lile gundu lako kimekuisha la kuchunwa na madada na kuwakula huwakuli
Ebu jionee haya mauza uza aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mtu ukipendwa you don't care
.....
Ngoja nicheze lokasa ya mbongo wenda nita-make
Note this: kukupenda sio makosa yangu, kupambana na mimi ni makosa, wenda upambane na moyo uliokudondokea.
Niambie
Nilikuwa nimekumiss ! Nikasikia kukuita tuu..Niambie
Naona mdogo wangu!!!Ebu jionee haya mauza uza aisee
OkayNilikuwa nimekumiss ! Nikasikia kukuita tuu..
Naona labda mganga wake kamwambia komaa na shunie hivi viben 10 siku unajistukia pic yako ipo kwa avatar yakeNaona mdogo wangu!!!
Unajua hawa Ben ten ni pasua kichwa eeh
Kiben10 [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ebu jionee haya mauza uza aisee
HahahaNaona labda mganga wake kamwambia komaa na shunie hivi viben 10 siku unajistukia pic yako ipo kwa avatar yake
Ni mm na nimempa taarifaHivi we si shem wangu au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuu hivi lile gundu lako kimekuisha la kuchunwa na madada na kuwakula huwakuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu jionee haya mauza uza aisee
Kasoro mimiMakapuku Mimi ni Mme wenu
Kiben 10 king'ang'aniziKiben10 [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli dada si ndio kama yale ya kipindi kile mtu kawekwa kwa avatar wakigombana huko anakuja kuanzishiwa thread ya kuombwa msamaha muhusika huko alipo hajui kinachoendeleaHahaha
Yaani wewe
Sasa mbona unamuulizia tena jaman kuhusu mm au ndio shem hunitaki unataka kunigawaNi mm na nimempa taarifa
Sio ww tu wiii wote humu ni wake za watuKasoro mimi