Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sema ukweli LeeMkuu ni biashara inayolipa kati yangu na yeye
Wewe ndo unanifanyia hivi kweli???
Sema ukweli LeeMkuu ni biashara inayolipa kati yangu na yeye
Ndo maana Jana niliona kimyaHata Mimi sipati kitu!
Nawaacha kwanza mlumbane..Mkuu ni biashara inayolipa kati yangu na yeye
Hebu kuwa serious!Sema ukweli Lee
Wewe ndo unanifanyia hivi kweli???
Sijui kwa nini ananifanyia hivi mimiNawaacha kwanza mlumbane..
Ngoja niingie chaka! Jioni nikirudi mtanieleza kinaga ubaga..
Muulize huyo LeeHebu kuwa serious!
Kuna tatizo mama?
Hadi karoti nakuletea...Ooh
Uniletee viazi na mananasi
AsanteHadi karoti nakuletea...
NakupaaSasa nipe
Mpendwa nisamehe uliponipigia alfajir usingz ulikuwa mzito sana si ulisikia ongea yanguSema ukweli Lee
Wewe ndo unanifanyia hivi kweli???
Nikajua tulambaneNawaacha kwanza mlumbane..
Ngoja niingie chaka! Jioni nikirudi mtanieleza kinaga ubaga..
Utaaminiii mpendwa ...Muulize huyo Lee
Aki sitaki kuamini
Hivi wewe ni wakunitenda hivyoUtaaminiii mpendwa ...
Nishasababisha
We haya tuMpendwa nisamehe uliponipigia alfajir usingz ulikuwa mzito sana si ulisikia ongea yangu
Ndo unipe sasaNakupaa
Mimi huyu nianziee wapiiiHivi wewe ni wakunitenda hivyo
Si nimeomba msamaha ?We haya tu
Mungu anakuona