makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,870
- 104,078
Kwamba tusiopenda pombe ni wafia chini.Jamaan hivi nimeandikaje
Kwamba tusiopenda pombe ni wafia chini.Jamaan hivi nimeandikaje
Nawe pia.Mlale salama
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema wakuu
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema
Nawe pia kiongoziMathayo 15:18-19
>>basi vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
>>Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.
USIKU MWEMA
Binamu kuwa serious toa mambo ya utani hivyo vitu uvisikie tu
Mathayo 15:18-19
>>basi vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
>>Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.
USIKU MWEMA
Punguza bhangiUsisahau kunitumia bhasii kwenye wozap make zile ulizotumaa ni amaizing
HahahaaaaYule dada angu wa kwa trump si ndio huyo
Mwambie akupe namba zanguKumbe yupo wozap eenh
MwenyeweMfyuuuuu
TehNielewe wapi sio mtz huyo
Nipe mzigo wangu wewe mtuKanambia nisikwambie
SawaMmmh...! Leo naona kama mvua inanyesha wakati jua linawaka.
ShkamoMacho yangu ama nivae miwani?
UmeelewaNa lugha aliyoandika haipo, labda kama ni kinyantuzi..![]()
![]()
AsanteNawe pia.