Poa mkuu, habari yako kiongoziHabari zenu wadau
Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzeseMambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
Safi za kwakoHabari zenu za jioni
OooohNdio yeye makaveli
Heater ya Maji Dar es Salaam?
Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese
Ooooh
Shikamoo binamu...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh
![]()
Ndio nilikuwa cjuiUlikuwa hujui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie...oh, kumbe lodge za sinza bei aghali eeh?!!
Manzese ulienda logde gani wakakuchaji bei hiyo, maji yapo ya kutosha kumfuga kirungu mpweke
Huyu binamu ni changamoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie
Ana wazimu huyu mzeeHuyu binamu ni changamoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mzee kijanaAna wazimu huyu mzee
Ana wazimu huyu mzee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mzee kijana
Huyu binamu ni changamoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie
Mfyuuuu zako....sikusema kuwa ulienda huko kana kwamba nilikuona , la hasha labda ulienda kwa kutotaka ujulikane.
ngoja nitafute muziki mimi muda huu
We ni mzeee nakujua...umejuaje mimi mzee?