moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,272
Nashukuru mi mzima, hujambo bibieSafi za kwako
Nashukuru mi mzima, hujambo bibieSafi za kwako
Hahahaha...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh
![]()
duu, nimechekaaaaa.Girlie o
For so long have been waiting o
Waiting for your love and your body o
Come take up the money o
Pretty baby and me honey o
Me love you for a very long time
You love me when you get a dine
Baby just give me the left side
Me wan give you anytime
Duuu, mkuu umechomoa fastasijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie
nyie watu mtanivunja mbavu kwa kichekoSasa mkuu heater ili uchemshe mayai auMambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.

Ama kweli hapa ni home of makapuku![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese

Mkuu mkuuNdio shemeji!!
yani hiyo avatar ni wewe?
Kwa kweli hapa kama umekuja na hasira utacheka mpaka hasira ziisheSasa huyu si makaveli jamani au nani huyo!?Mkuu mkuu![]()
yani hiyo avatar ni wewe?
![]()
![]()
![]()
Kwa kweli hapa kama umekuja na hasira utacheka mpaka hasira ziishe

Duh!! 20 elfu, wakikutajia niambie na mie.
mwambie nyuma ya mahakama kuna moja wanakopaki/kulaza magar ata 10 unawapaWenzako wanatackle pepa yeye katackle tako lake.. nadhani director alikuwa mzembe....goma limetulia sana, mistari mizuri pia ila huyu biTiwa kaniudhi sana kwanini kavaa shati kiunoni hata sijaona akicheza vizuri matackle kama kutako exams
Ipo mokoooo nyuma ya mahakama ya mwanzo anapata kirohooo swafiiiHiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese
...kituu kwa zuluuuuu

Asije akaondok na maradhi bure mtoto wa watu..![]()
![]()
![]()
mwambie nyuma ya mahakama kuna moja wanakopaki/kulaza magar ata 10 unawapa

Hakika, kapuku ni habari nyingine...yaani hapa ndo penyewe, wewe ushaona wapi mtu anaulizia heater guest house za Dar.
Jiji linalojulikana kwa joto kali kiasi kwamba paka wa mchepuko wa anko wangu anakataaga maziwa anataka ice cream za azam

Sawa mkuu, umesomekaSasa huyu si makaveli jamani au nani huyo!?![]()
![]()
![]()
![]()