Makapuku Forum

Makapuku Forum

Utafiti: Msaada

Nimeangalia data za magari yaliyoandikishwa hapa Tanzania, nimejaribu kuingia webpage ya TRA ambao ndo madhamana wa uandikishaji magari, sijaona idadi ya magari yaliyosajiriwa na yapo Tanzania. Nimeangalia NBS pia sijaona
Ikabidi niingia webpage ya WHO ambako nimekuta data za 2011 na zinaonesha magari yaliyosajiriwa hapa nchini ni 977,468 ikihusisha magari madogo 378,485, malori 70,254 na mabasi 41,625 idadi iliyobaki kuunda laki 9.8 inajumuisha pikipiki na vyombo vya moto matairi mawili na matatu.

Kama kuna mdau ana data za hivi karibuni anaweza kuziweka hapa ninapenda kufahamu kuhusu kitu.

Usiku mwema wadau
Wacha tuzisake
 
TUOMBE
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku njena hii ya leo Alhamisi Desemba 7, 2017 salama
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza yote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukwitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Waponye wagonjwa wote Baba majumbani na mahospitalini,fariji wafiwa wote wape faraja yako popote walipo,angalia wajane,wagane,yatima Baba wape hitaji la mioyo yao,wasaidie wote wanaopitia changamoto mbalimbali.
Wasaidie wasafiri wote kokote waendako majini,nchi kavu na angani waende na kurudi salama..ponya mioyo yote inayotaabika kwa huzuni na dhiki ,tuongezee imani Baba tukuangalie wewe tu maana wewe Baba hukawii wala huwahi jibu lako ni ndiyo.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.

SIKU NJEMA .DAMU YA YESU ITUFUNIKE
 
Muziki: Mdhamini Unfollow

Ni kwa udhamini wa aunt yangu ambaye upendo wangu kwake ni oneway traffic, unaenda tu haurudi, ila kimoja cha msingi anachojua ni kuwa furaha yake ndo furaha yangu mimi na mama yangu. Tuburudike na udhamini wa our very own one and only shortie no mkorogo mbagala rangi tatu Shunie
Hivi huu wimbo hauna dedication? Labda alisahau ngoja nimuite makaveli10 aulize kama kadedicatiwa yeye

Asante Obe
 
Amin
 
Muite shunie mwenyewe bhana..
 
Dedication yangu!!?? Ninenepe.

Kama ungekuwa yangu kwa maseke yale nadhani leo angeamkia kigamboni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom