Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Siwezi kupaka na huu weusi wangu nitatishaUsikubali kupaka hayo mavitu..
Siwezi kupaka na huu weusi wangu nitatishaUsikubali kupaka hayo mavitu..
Nimejikuta nacheka sana hivi una nini lakini binamu ebu niache na nyimbo yangu inifikie mwenyewe tu mm niliyechagua hapa viti virefu nilipo
Hata mi mwenyewe sizioni, siyo wewe tuHivi ni mm ndio sioni hizi pic unazopost kaka angu au wote
Safi mkuu TumosaPoa mambo
Aliyoshirikishwa na Panto huyo mdada huwa haaribu halaf binamu we kijana sio mbabu kama ninavyowaza...miguu inabembea tu haifiki chini, hongera.
BTW, nimependa wimbo wa huyu Tiwa, ujue ilikuwa frst time kumsikia, wimbo unaitwa
Girlie 'O' Remix
Ilikuwa yako
Mie na mito ni dam dam..
Hata mi mwenyewe sizioni, siyo wewe tu
Aliyoshirikishwa na Panto huyo mdada huwa haaribu halaf binamu we kijana sio mbabu kama ninavyowaza
Kusoma ninii na wakati vitu havionekanimimi naziona, jitahidini mjue kusoma kama picha hamzioni!
Mchoyo wewe...ehe, umesahau kila siku nasema kuwa mimi ni kijana sana mwenye mambo ya kizee, yaani ukija kunitembelea mida ya kula uje na msosi wako na kinywaji hapa utafaidi maji tu na makochi ya leather. Nina makochi ya leather kama nilisahau kuwaambia
He he maka akee ukuje hapa eti kuna ka ukweli...godoro lina matobo matobo kama nyumba ya panya, mito itasalimika kweli
Mchoyo wewe
..sio nchoyo, ila mgeni asiwe mchoyo anachokula kwake akija kwangu alete




