Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shemela we acha tu, nina maseke, siku ya leo ni mbovu hatari, leo asubuh kabisa trafiki wameninasa, narudi gari inanizimikia wese limekata.. baadae nimempa dada yangu karnda kugonga mwembe huko.. na mengine mengi makubwa zaidi ambayo hayasimuliki ni maseke bin maseke tu shemeji..

Sasa hapa na umuhimubwa kuwa na mwenza unaonekana, mtu anaweza kujitia kitanzi hiv hiv kibwege kibwege
Pole sana maka nimecheka sana hiyo ya kutafuta mwenza
 
Hhmm.. labda shunie wa photocopy, shunie akiamua lake kaamua. Wacha nijaribu labda aje lee empire hapa ndio itasaidia.

Sasa kamtafte alipo aje akuombe msamaha, ila mimi sina nafasi hyo kwa ndug yangu, mpaka niweze kumbadili.
Nimuombe msamaha nimemkosea nini mimi maka hizo mambo zishaisha za mastory
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom