Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Nitatumia nae ye si mbeba pochi wanguUkipata tumia na wenzako..
Msikilize q chief
Nitatumia nae ye si mbeba pochi wanguUkipata tumia na wenzako..
Msikilize q chief
Poa bibieHbr ya asubuhi wapendwa![]()
![]()
Mach know hata huku upon???Za asubuhi wapendwa
Nzuri tu shemeji.Hbr ya asubuhi wapendwa![]()
![]()
Kila la kheri ndugu yangu.. allah akufanyie wepesi.Naombeni maombi yenu wapendwa, naingia kwenye paper leo hii
Safi na salama.Za asubuhi wapendwa
Dah!! Ama kweli ya kaisari yana nguvu zaidi..Sawasawa najtolea kuwa bodyguard wako

Uku ndo home mkuu .......sema huwa sipost nasoma tu post zenu kila siku tangu niingie jf ...zinanikosha sana aiseeMach know hata huku upon???
Uku ndo home mkuu .......sema huwa sipost nasoma tu post zenu kila siku tangu niingie jf ...zinanikosha sana aisee
Kila lakheriNaombeni maombi yenu wapendwa, naingia kwenye paper leo hii
Hatujashinda humu, ndio tunaingiaMmeshindaje humu ndani jamani
May God be with you sweetheart!Naombeni maombi yenu wapendwa, naingia kwenye paper leo hii