Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nafanya pepa ya electrical installation

...oh, hiyo ngumu sana upande wangu kwa hiyo hata maombi yangu yatakuwa magumu kukufanya ufanikiwe. Wanaoijua hiyo EI watakuwa washakuombea. Ukimaliza paper na ukaanza kufanya you know, like internship, nitakuomba uje unifanyie wiring (ina tofauti na EI?) kwenye kibanda changu , umeme wa REA unakuja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela wewe sio mtu mzuri ujue
 
Pepa ilikuwaje!?
395997023478621dc736beb34f3c12e1.gif
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela wewe sio mtu mzuri ujue

...nimekuwa wazi kwako maana nisijejifanya muombaji wa kitu nisichokijua my dear. Ungekuwa unafanya paper la utawala ningeomba maombi ya mnyororo, yaani nakuombea kibinafsi, watunga paper na wasahihishaji hadi wabandika matokeo ubaoni
 
Back
Top Bottom