Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
SawaShunie atusaidie kwa hili..
SawaShunie atusaidie kwa hili..
Yameisha bhana!Uliniambia nikuache nimekuacha hapa vipi tena
Tutalala salama, maana muda wa kulala bado, wacha tucheki game..Jamani
Mlale salama
Tutalala salama, maana muda wa kulala bado, wacha tucheki game..Jamani
Mlale salama
Asante mkuu.Huu ndio ujentroman..
Mkuu agiza kilaji, hela ya vilaji vya bei kali sina ila kuonesha najali agiza hata komon mkuu haiwez kunishinda.![]()
![]()
Poa mkuu..Asante mkuu.
Ila nina safari kesho alfajiri , so leo sigusi kitu kaka.
Eee bwana eeh!Nakupaje sasa shunie, njoo uzibebe.
Kisa na mkasa!?mange naona kadeactivate acc yake jamaan
Arosto tena wkati empire lee yuko wajameni.Nina arosto
Kupasisha salam zetu kwa shemeji yako lyon leeNiwasaidie nini mie tena
Wazee wa OTKama kawaida mkuu.. mie ni mshika bunduki tangu enzi hizo.
Wewe je!?
Hivi hayajaisha kumbe...Ewaaaaaa
You always know my choice
Napenda watu kama nyinyi ukiwa strong kama hv utaishi maisha yako kwa furaha katika hali yoyote..Maka nimekuwa zaidi yaan kuna makorokoro unakutana nayo kwenye mahusiano yanazidi kukupa ganzi
....pakunogaHapo chacha!!
Sawa makaTutalala salama, maana muda wa kulala bado, wacha tucheki game..
Na usingo huu ukakikimbilie kitanda saa hizi si unatafuta kuchana shuka kwa kugalauka galauka kitandani tuu, upate kazi ya kutandika upya kabla hata hakujakucha..![]()
![]()
Sie masingle mida yetu ni saa 7 huko.
Tutalala salama, maana muda wa kulala bado, wacha tucheki game..
Na usingo huu ukakikimbilie kitanda saa hizi si unatafuta kuchana shuka kwa kugalauka galauka kitandani tuu, upate kazi ya kutandika upya kabla hata hakujakucha..![]()
![]()
Sie masingle mida yetu ni saa 7 huko.
Sawa mkuu.. wacha tuone dakika 90 zitatuambia nini..Wazee wa OT
Safari njemaAsante mkuu.
Ila nina safari kesho alfajiri , so leo sigusi kitu kaka.