makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,449
Miss u zaid shunie akee.. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Maka akeee miss u [emoji7][emoji8]
Miss u zaid shunie akee.. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Maka akeee miss u [emoji7][emoji8]
Tanesco washenzi sana, nmeamka nakuta umeme hakuna, napata taarifa ni tanzania ya viwanda yote..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka jaman poyeee
Morng jiraniMorning makapuku
Tanesco washenzi sana, nmeamka nakuta umeme hakuna, napata taarifa ni tanzania ya viwanda yote..
.....kwani ni wenyewe ndo wanalibomoa? Hakuna mkandarasi anayefanya kazi hiyo?Jengo la Makao Makuu linabomolewa, hivyo wafanyakazi wapo busy kuokoa mali na sio kusimamia huduma za grid ya Taifa. Wasilaumiwe wao kwa kuvibadilisha vipaumbele vya kazi zao katika kipindi hiki.
Bosi mkubwa ndio analeta karaha yote hii na misifa yake ya dully sykes.Jengo la Makao Makuu linabomolewa, hivyo wafanyakazi wapo busy kuokoa mali na sio kusimamia huduma za grid ya Taifa. Wasilaumiwe wao kwa kuvibadilisha vipaumbele vya kazi zao katika kipindi hiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... Maltipapasi......kwani ni wenyewe ndo wanalibomoa? Hakuna mkandarasi anayefanya kazi hiyo?
Hi love God Bless you ,Love you[emoji7] [emoji7]Morning my lovely Mom
Amen[emoji7] [emoji7][emoji120] [emoji120] [emoji120] barikiwa pia mom
Ndio hivyo wamesema kuna hitilafu kwenye grid ya taifaNa naskia tanesco wamekata umeme tanzania nzima
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Tanesco washenzi sana, nmeamka nakuta umeme hakuna, napata taarifa ni tanzania ya viwanda yote..
Ndio hivyo wamesema kuna hitilafu kwenye grid ya taifa
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji133][emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Mko wapi eti[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Jambo Mama akee naniliuAtaitika my dear
Hallelujah[emoji524]Yeremia 31:27
Tazama mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili, je kuna neno gumu lolote nisiloliweza?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Jamaan pole mnoooTanesco washenzi sana, nmeamka nakuta umeme hakuna, napata taarifa ni tanzania ya viwanda yote..
Tupo busy na kutekwa[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Mko wapi eti[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Karibu mom,leo zamu yngu kulinda jukwaa[emoji133]