Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Yesu akulinde kwa damu yake usiku mwema love u [emoji7][emoji8][emoji120]Mlale salama wapendwa
Yesu akulinde kwa damu yake usiku mwema love u [emoji7][emoji8][emoji120]Mlale salama wapendwa
KheeeeeNiko single but not alone, kulala nalala mwenyewe ila kulalana ni tofauti na kulala
Mmh yaan binamu wewe ndio mana Mama anasema huwa hakuelewi kabisa
Maka akeee miss u [emoji7][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kula kwa uma veeep...kwanza msalimie sana, salamu binafsi. Pili, mimi huwa namuelewa sana, anielewe tu.
Ngoja nimalize hii semina, nitakuja na maneno matamu ya kiinglishi, akishindwa kunielewa basi nitajua kuna mkono wa mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka jaman poyeee...Maka muda huu anagombana na tanesco
Ataitika my dearNa me namsalimia mnoooo
HaleeluyaYesu akulinde kwa damu yake usiku mwema love u [emoji7][emoji8][emoji120]