Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Namshangaa sakayo jamanHuku kwetu ni porini magazeti yanafika mchana!!
Namshangaa sakayo jamanHuku kwetu ni porini magazeti yanafika mchana!!
Sawa MamaSi ndio nimeingia nimekuta shululu hajaweka
Ahahaha weka bhanaHapo ndio pakugumu[emoji23] [emoji23]
Nina ushahidi wa maneno na porojo tu.. picha sina..[emoji23] [emoji23]Ahahaha weka bhana
Wa mjini hao, waishazoea jogoo anawika magazeti yako mlangoni.Namshangaa sakayo jaman
Basi sawaAna ugeni gani huyo
Ahahhaha kama nakuona kwahiyo umefutwa au utakua umepelekwa jukwaa la wakubwaMambo ya kikubwa ujue.... Nkakimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina ushahidi wa maneno na porojo tu.. picha sina..[emoji23] [emoji23]
TehNamshangaa sakayo jaman
Umefutwa kabisaaaaaAhahhaha kama nakuona kwahiyo umefutwa au utakua umepelekwa jukwaa la wakubwa
Sasa kwa wewe heshima iliyopo naanzaje kupata mawazo negative negative, lazima unipe kitu ambacho roho nifanye kuikaza kweli..Ahahha kwanini nisiwe mimi na huo mtihani unakuaje rahisi
Sinasi bana, kwani nimeanza leo, ujue nimefuzu mpaka nimekuwa mkufunzi kwenye fani hyo ndugu yangu.. sina ugeni wakufeli weekly test wakati nishapiga national exams kibwena[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakuonea huruma utanasa utasahaulika huko
Eehh.. ndio hvyo, kwanza leo naona yamewahi..[emoji23] [emoji23]Aiseee
Ahahahh ebu nidokeze ulikua unahusu niniUmefutwa kabisaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa wewe heshima iliyopo naanzaje kupata mawazo negative negative, lazima unipe kitu ambacho roho nifanye kuikaza kweli..
Wewe tutakesha tunapiga stori, tunaongopeana, kuja kutahamaki asubuh kumepambazuka..[emoji23] [emoji23]
Asanteeeee [emoji122][emoji122]Sinasi bana, kwani nimeanza leo, ujue nimefuzu mpaka nimekuwa mkufunzi kwenye fani hyo ndugu yangu.. sina ugeni wakufeli weekly test wakati nishapiga national exams kibwena[emoji23] [emoji23]
SawaEehh.. ndio hvyo, kwanza leo naona yamewahi..[emoji23] [emoji23]
Unataka nikule ban eehAhahahh ebu nidokeze ulikua unahusu nini
Njema ubarikiwe my daughterHabari ya leo wapenzi poleni na majukumu
Unakulaje kwa mfano ebu niambie kiduchuUnataka nikule ban eeh