Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Asante Mama yangu kipenzi umekubali sasa hiviTuma namba ya luku


Asante Mama yangu kipenzi umekubali sasa hiviTuma namba ya luku


Sie tunatumia mafuta ya taaJaman hivi na huko kwenu mikoani umeme vipi mkinunua kwa simu au kununua kwa max malipo mnapata aisee huku kwetu kwenye simu hununui na kwenye max malipo pia net hamna hawa tanesco hawajatoa taarifa yeyote
Sie tunatumia mafuta ya taa
"Mwenye aibu ana akili"Hivi hujui niko na aibu
Mmh si nimeyaweka mie yatafute huko juuMagazeti yako wapi jamani, nimeyasubiri sana
...mafuta ya taa ya umeme!
HayaSie tunatumia mafuta ya taa
Kwa udhamini wa anko wangu magazeti yanawajia hivi punde ....Magazeti yako wapi jamani, nimeyasubiri sana
...mafuta ya taa ya umeme!
Kwa udhamini wa anko wangu magazeti yanawajia hivi punde ....
Shikamo anko habar za manka mwenye zigo lake
Mmh si nimeyaweka mie yatafute huko juu
Sina jipya mie wala sitaki kusikia chochote kipya...asante, nimeyaona, nimeyasoma na ninashukuru sana. Kuna jipya?
Ahahahhaha...magazeti nimeyaona anko, aliyaweka aunt yangu na leo hakunipiga mkwala nisiyasome. Nishajua nitakuwa nasubiri wengine wote wakisoma wakamaliza nami ndo nasoma. Yaliyochacha hana kinyongo kunipa
Sina jipya mie wala sitaki kusikia chochote kipya
Aunt yako huyu asiyependaa kukuonaa au...magazeti nimeyaona anko, aliyaweka aunt yangu na leo hakunipiga mkwala nisiyasome. Nishajua nitakuwa nasubiri wengine wote wakisoma wakamaliza nami ndo nasoma. Yaliyochacha hana kinyongo kunipa
Aunt yako huyu asiyependaa kukuonaa au
Hata cha zamani sitaki kusikia una nini binamu lakini ebu niache jaman...basi sawa, je ungependa kusikia cha zamani?
Leo nimefurahi kumpa magazeti asomeAunt yako huyu asiyependaa kukuonaa au
Au ulikulaga kwake na vyombo hukuosha?...huyu huyu, yaani hata sijui nimemkoseaga nini
Shikamo auntie obe ankaliHata cha zamani sitaki kusikia una nini binamu lakini ebu niache jaman