makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,483
Iiihh... We shunie mara ngapi nimekula viapo kwako na kutoa ushuhuda mie nimeacha upuuzi[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji86] [emoji86]Ahahahhh umebadirika toka lini maka
Iiihh... We shunie mara ngapi nimekula viapo kwako na kutoa ushuhuda mie nimeacha upuuzi[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji86] [emoji86]Ahahahhh umebadirika toka lini maka
Ni kweli hakuna marefu yasiyo na ncha lakin kila nikiwatizama katika ramli aliyoniachia babu wa babu.. naona bado watatupelekesha saana..Ila ipo siku yao tu isiyokuwa na jina
Sio mimi lakini ni zay b huyo...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti wahenga misemo yao ina maana sanaSikufikii wewe mwenzangu..
Eti wanasema ndege wafananao huruka pamoja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmh siamini mie kwahiyo umekua na tabia nzuri sasa hiviIiihh... We shunie mara ngapi nimekula viapo kwako na kutoa ushuhuda mie nimeacha upuuzi[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji86] [emoji86]
Sanaaa mpaka tukomeNi kweli hakuna marefu yasiyo na ncha lakin kila nikiwatizama katika ramli aliyoniachia babu wa babu.. naona bado watatupelekesha saana..
Hawakuwa mapopoma wale, misemo yao ilikuwa na mashiko.. sio misemo ya siku hizi, mara utajiju, mara sijui laki si pesa, sijui mwanamke nyonga tako majaaliwa n.k[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti wahenga misemo yao ina maana sana
Kupita maelezo, mpaka malaika wanataka kuniiga[emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85]Mmh siamini mie kwahiyo umekua na tabia nzuri sasa hivi
Kupita maelezo, mpaka malaika wanataka kuniiga[emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85]Mmh siamini mie kwahiyo umekua na tabia nzuri sasa hivi
Kweli vile.. kama huamin fanya jaribio.[emoji23] [emoji23] [emoji85]Mmh siamini mie kwahiyo umekua na tabia nzuri sasa hivi
Tukomeke, maana kama kukoma tayari tushakoma.Sanaaa mpaka tukome
Hivi hyo avatar ukitongozwa utalalamikaUsiku mwema...
Salama shemela, vipi weye.Habari ya leo wapenzi poleni na majukumu
Njoo kama unawezaNi wapi huko nikuje na mm
Haha
Magazeti ya kesho auMagazeti yatawajia hivi punde [emoji4]
Akili huwez tongoza mtu kisa avatar ya kike..Hivi hyo avatar ukitongozwa utalalamika
AhahahhahahahHawakuwa mapopoma wale, misemo yao ilikuwa na mashiko.. sio misemo ya siku hizi, mara utajiju, mara sijui laki si pesa, sijui mwanamke nyonga tako majaaliwa n.k[emoji23] [emoji23]