Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
OkayNafurahi kujua hilo..
OkayNafurahi kujua hilo..
Ebu niambie we Babu umetukana tusi gani hilo la kimoyo moyo nijue jamaan [emoji4]...ha hahahahaha, nimekutukana kimoyomoyo.
Morning Makapuku.
Magazeti yatawajia hivi punde, hata mimi nayasubiri
Nipe sasa jamaanHaya yachukue tu ndugu yangu
Ahahahh sitakagi ujingaHahaa.. kama nakuona vile ndugu yangu unampa mtu vidonge vyake..
Jambo veve [emoji8][emoji8]Penda wewe zaidi lovie
[emoji120][emoji120]Na kwako pia maka akeeAsubuhi njema iwe kwenu nyote.. na baraka za mola wetu aliyetukuka ziwe kwetu sote..
Tunakupenda pia [emoji7]Mwajua vile nawapendaga eehh.. (kikongolizi)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni wapi huko nikuje na mmUmefanyaje "kule" mbona sikupati?
MmhNipo mbona.... Jaribu tena hebu
Chagua wataka kwacha, randi, yuan, pound, euro, naira, dolari, shilingi, franc, au!?Nipe sasa jamaan
[emoji23] [emoji23]Ahahahh sitakagi ujinga
Ahsante shunie ake..[emoji120][emoji120]Na kwako pia maka akee
Napata faraja ya moyo kuona kuna watu wapo wananipenda..[emoji7] [emoji7]Tunakupenda pia [emoji7]
Tulia shunie utakuja kuona, usivyopaswa kuona ndugu yangu.. shaur yako.[emoji23] [emoji23]Ni wapi huko nikuje na mm
Shenzi hao..Hawa ma ccm na gazeti lao nimekosa cha kuongea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nataka pound [emoji39][emoji39][emoji39]Chagua wataka kwacha, randi, yuan, pound, euro, naira, dolari, shilingi, franc, au!?
Ahahahh kama nakuona huko ulipo kule watu ni washenzi unaweza ukajitokeza tu kucomment lijitu linapotokea huko linaanza sasa mtu usisifie kama pic nzuri au video utasikia shunie njo kwangu kama hiyo mfyuuu[emoji23] [emoji23]