Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ahahahh kama nakuona huko ulipo kule watu ni washenzi unaweza ukajitokeza tu kucomment lijitu linapotokea huko linaanza sasa mtu usisifie kama pic nzuri au video utasikia shunie njo kwangu kama hiyo mfyuuu
Wanaume sie utatuweza.. tumezidisha ukware. Tunaendekeza kicha cha chini kuliko cha juu chenye akili timamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ufanye uuze uniletee pound mie
Nauza mamii, kama ikishindikana kupata mteja, ntakupa kabisa uuze wewe, ujigawie kabisa unachotaka kitakachobaki utanipa kama kiporo[emoji23] [emoji23]
 
Na kweli nyie viumbe naviheshimu sana
Lakini ujue mie simo, nimestarabika siku hizi, nimekuwa timamu, nakifata kichwa cha juu chenye akili zake, naanzaje kufata kichwa kina kipara, toka kuumbwa kwake hakioti hata nywele kazi kucheua tuu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom