makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,976
- 104,431
Ntake radhi mkuu..Hahahaa
Hapana aisee! I want to get the real picture kwanza...nilikuwa napitia nyuzi zake kwenye haya majukwaa ya kawaida kwanza.
Ila nahisi makaveli ameshakuwa added...![]()

Ntake radhi mkuu..Hahahaa
Hapana aisee! I want to get the real picture kwanza...nilikuwa napitia nyuzi zake kwenye haya majukwaa ya kawaida kwanza.
Ila nahisi makaveli ameshakuwa added...![]()

Haikuzima, ila simu yangu ikibaki 15% huwa naweka xtra power saver mode.. ili nidikosekane hewani kabisa.Maka bado simu yake imezima
Haikuzima, ila simu yangu ikibaki 15% huwa naweka xtra power saver mode.. ili nisikosekane hewani kabisa.Maka bado simu yake imezima
Afalaleki mina udhubiki...mimi nimejiunga nimelikuta, sasa angalia nimejiunga mwaka gani. Na hapo kumetokea mabadiliko kibao wakati huo wenye simu janja (smartphone) ni mimi na anko wangu, wengine mlikuwa mnashinda cybercafe kuingia mtandaoni.
Angalizo: Nisikie mtu ananiita mimi Mzee
Angalizo la pili: BH hujambo

MkuuMie n wewe tena!! Nakosaje kuja kwa mfano.


Pole sana mkuu.Hapana mkuu, tanesco walivyokata umeme, nikaamua nilale...
Adha ya kulala mapema kwangu ndio hii, saa hii niko macho km najiandaa kupaa vile.
I feel it darling,daughters and sons of God are so sweet..you have Blessed my day thank you sweet daughter God Bless ULove you Mom, natamani ungekuwa karibu nikuhug and tells you how much I love you!!!! Mom yo the best

Namshukuru Mungu mzima za majukumu Obe,ubarikiwe...mimi nimejiunga nimelikuta, sasa angalia nimejiunga mwaka gani. Na hapo kumetokea mabadiliko kibao wakati huo wenye simu janja (smartphone) ni mimi na anko wangu, wengine mlikuwa mnashinda cybercafe kuingia mtandaoni.
Angalizo: Nisikie mtu ananiita mimi Mzee
Angalizo la pili: BH hujambo
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza kuiona ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza kuiona ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.
Tunakuja Mbele zako tukikukabidhi siku ya leo ya Jumanne ,28 Novemba 2017 ikawe njema na ya kukupendeza.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosea.Kwa mawazo ,maneno matendo na kutotumiza wajibu mbalimbali Uturehemu twakusihi
Tuimarishe ili tukupende,tukuheshimu na kuishi maisha ya kukupendeza wewe tu.
Tunaikabidhi Nchi yetu iwe na Amani.
Tunazikabidhi Familia zetu zidumishe Upendo na Mshikamano.
Tunawakabidhi wagonjwa na wenye shida mbalimbali majumbani na mahospitalini Baba ukawaponye miili na roho pia.
Baba wasafiri wote majini,nchi kavu,angani ukawe nao waende na kurudi salama.Na familia zote Baba mwema zikawe salama na Amani itawale.
Watoto wetu popote walipo makazini,majumbani na mashuleni ukawasimamie wakawe vichwa si mikia wafanye mambo yote kwa ufanisi na mafanikio na wakutafute kwa bidii..wawezeshe wapate haja ya mioyo yao na wale wasio na ajira Baba wape ajira Mfalme wa Amani..watulize wakuangalie wewe tu.
Baba Mungu tunazikataa kazi zote za shetani zisipate nafasi katika maisha yetu tunazivunja kazi zote za shetani katika jina la Yesu Kristo tunamwaga damu ya Yesu Kristo ikatakase kila pando na kuling'oa na kulitupa kuzimu Mfalme wa Amani.
Tunakabidhi kazi zote za mikono yetu zikapate kibali mbele yako nawale wasio na kazi na shughuli za kufanya Baba wape kazi ili wauone Utukufu wako, tuingiapo na kutoka utubariki.
Baba Asante kwa Matendo yako Makuu yasiyo na mwisho,tunauona ukuu wako siku zote za maisha yetu tunasema Asante Baba na tunaomba uzidi kutuimarisha imani zetu zipande kuwa viwango vya juu ili tuweze kushuhudia matendo yako siku hadi siku.Roho Mtakatifu tutie nguvu.
Nakushukuru maana utatenda yote sawa na mapenzi yako
Katika jina la Yesu Kristo naomba naamini na nashukuru Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE![]()

Barikiwa Mama
Woiiii kumbe binamu lipo toka enzi za Jambo Forum halaf binamu we ni kikongwe ndio mana huwa nakuita mzee huwa sikosei kabisa...mimi nimejiunga nimelikuta, sasa angalia nimejiunga mwaka gani. Na hapo kumetokea mabadiliko kibao wakati huo wenye simu janja (smartphone) ni mimi na anko wangu, wengine mlikuwa mnashinda cybercafe kuingia mtandaoni.
Angalizo: Nisikie mtu ananiita mimi Mzee
Angalizo la pili: BH hujambo
TehMie n wewe tena!! Nakosaje kuja kwa mfano.
Mengi mengi makaChukua..![]()
Mahela hayo ni mangapi!?
Kumbe ni la wakubwa.. inapaswa niwemo, mie maana naelekea kuuvuka huo ukubwa wenyewe, nisije nikakosa cha kusimulia wajukuu bure





Wa kunitongoza naniiii wananijua mtu aanze kuongea mambo zake jukwaani nampa yakeUmekimbia kutongozwa nini![]()
![]()
AsanteeeeeAisee.. nakutunuku cheo cha heshima OBE
...ha hahahahaha, nimekutukana kimoyomoyo.Woiiii kumbe binamu lipo toka enzi za Jambo Forum halaf binamu we ni kikongwe ndio mana huwa nakuita mzee huwa sikosei kabisa
Namshukuru Mungu mzima za majukumu Obe,ubarikiwe