Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Basi umechelewaIpi hiyooo
Basi umechelewaIpi hiyooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngao ya kidonge na ngao ya maji
Napima msingi uliosimika kwake ni imara kiasi ganiSasa mbona ulikuwa unamsumbua mcute
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tatizo unapotea sana nina mda kidogo
Kama nakuona mke mwee huko ulipo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante...mna upendo humu duhJisikie upo huru bibie
Inahusiana niniii na nyimbo niliyoomba
Sanaaa mpenziAsante...mna upendo humu duh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe wa wapi?
MfyuuuuuAngekubali ningemwambia nina mke labda awe mcheps tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...dunia hii hii ambayo na mimi ninaishi? Yaaani wewe mkitaka kwenda out utakuwa unatangulia yeye anakuja baadaye maana anko wangu ana mambo mengi sana.
Ila kaka yake, mjomba wangu Empire yeye ni mtulivu kajituliza na aunt yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuu
Nimekufyonza kwa ujinga uliouandika halaf una nini siku hizi toka umerudi ujue nilikukuta sehemu huko unajichetua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama D hiyo ndio nini?
Wapi huko shem najichetua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekufyonza kwa ujinga uliouandika halaf una nini siku hizi toka umerudi ujue nilikukuta sehemu huko unajichetua tu
Acha nijichekee mmKama nakuona mke mwee huko ulipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu watoto wa kike wote washachukuliwaLiniii ndio mana hupati babe ujue watu wanaangalia avatar sasa nani anataka kutishwa jaman
Ebu niachee we babu
Imuendee nani.....[emoji23]Binamu Obe naomba nyimbo ya Rudi ya Rich mavokal ft pantoraking [emoji7][emoji120] hii nyimbo rich asanteeee
Tumefundishwa upendo...Kwenda pepon tuna malengoo[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Asante...mna upendo humu duh