Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Anko kashalewaaa huyo
Sijalewa bhana, sema nimetumia madawa ya kulevya kama piritoni, na benadryl
Anko kashalewaaa huyo
Apambane na pombe zake jaman
Sawa binamu domo zege...sipambani nazo, zenyewe ndo zimeungana kupambana na mimi

Ni jadi yetu, sisi sote ni watoto wa baba mmojaAsante...mna upendo humu duh
Makapuku Mimi ni Mme wenu

Muziki wa Mdhamini: Wasilisha Hisia Acha WasiwasiSawa binamu domo zege![]()
Muziki: Uzuri wa Maandishi
..u khali gani Kapuku mheshimika, najua umekuwa na Jumanne nzuri kabisa, hilo sina shaka nalo na hata kama nitakuwa na shaka nalo yafaa nini kama siwezi kuwa sehemu ya tatizo wala suluhisho. Kila mmoja anapambana na hali yake, ndo anavyopenda kusema Tumosa na aunt yangu Shunie na hili ndo la msingi kulifanya. Upande wangu siku yangu ilikuwa poa.
Jamii nzuri na iliyo bora hujengwa na watu wenye maarifa, ufahamu wa matatizo na namna ya kuyatatua. Hili lilijulikana tangu zamani enzi za wasomi mababu zetu waliopenda kutufunza nini cha kufanya kwa kuangalia na kuiga. Zama zimebadilika, kwa sasa maarifa yapo vitabuni, kwenye makaratasi. Nikiuliza tu ni vitabu vingapi umesoma mwaka huu, well, zile hadithi zinazowekwa humu huwa unasoma? Usizidharau, zinaleta maarifa makubwa na zinatupa uwezo wa kuwafahamu wengine huku tukitambua tofauti zetu zinazotuunganisha.
Muziki sasa, inapendeza sana kuwaona wadau tukiwa hapa Jukwaani, bila ninyi hakuna chochote kinachoweza kulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee. Good to see you mtaasisi mwenzangu Nyagei na wadau wote
Kwahiyo shem sikujui wewe nakupita kimya hata like sikupiUtakuwa unanisingizia shem wane
AwwwMuziki wa Mdhamini: Wasilisha Hisia Acha Wasiwasi
Sitaki kumsemea mtu, si unajua kwanini, kwanza huwa nakuwa wa mwisho kujua vitu humu ambavyo wote mnavijua tangu jana na kingine japo ni tuhuma lakini kuna mdau kasema mimi ni domo zege. sasa niliposoma list ya domo zege nikapata njaa maana nikajua zege ni chipsi yai, nikajiuliza hilo zege limewekewa na chachandu au lina mishkaki. Lahaula nilikuwa mbali na ukweli kumbe domo zege ni ile changamoto ya kutongoza. Mmmmh, hebu jiulize , muulizeni BH kama mimi ni domo zege. Maana nimemuimbisha mwaka wa 7 huu hadi nilipopendana na mpendwa wangu, kipenzi changu wa ukweli. Sijitetei maana tatizo langu sio udomo zege ila ni kutokubaliwa kabla ya kukutana na kipenzi changu mnayemjua humu.
Muziki wa mdhamini unaletwa kwenu na Shunie aunt yangu ninayemfagilia sana. Mimi na yeye hatuchukiani na tunafurahiana mno na wote mnalijua hilo. Mnasalimiwa na anko wangu mkubwa yule anayempenda aunt yangu achana na huyu mdogo Lyon Lee nyumba nyingi, juzi kaenda kufumania mchepuko wake kilichomkuta atawasimulia asubuhi au atajidai kukaa kimya kuepusha shari la penzi jipya

santee binamu
hii nyimbo kama nimeimbiwa mieAwwwsantee binamu
hii nyimbo kama nimeimbiwa mie
Muziki: Uzuri wa Maandishi
..u khali gani Kapuku mheshimika, najua umekuwa na Jumanne nzuri kabisa, hilo sina shaka nalo na hata kama nitakuwa na shaka nalo yafaa nini kama siwezi kuwa sehemu ya tatizo wala suluhisho. Kila mmoja anapambana na hali yake, ndo anavyopenda kusema Tumosa na aunt yangu Shunie na hili ndo la msingi kulifanya. Upande wangu siku yangu ilikuwa poa.
Jamii nzuri na iliyo bora hujengwa na watu wenye maarifa, ufahamu wa matatizo na namna ya kuyatatua. Hili lilijulikana tangu zamani enzi za wasomi mababu zetu waliopenda kutufunza nini cha kufanya kwa kuangalia na kuiga. Zama zimebadilika, kwa sasa maarifa yapo vitabuni, kwenye makaratasi. Nikiuliza tu ni vitabu vingapi umesoma mwaka huu, well, zile hadithi zinazowekwa humu huwa unasoma? Usizidharau, zinaleta maarifa makubwa na zinatupa uwezo wa kuwafahamu wengine huku tukitambua tofauti zetu zinazotuunganisha.
Muziki sasa, inapendeza sana kuwaona wadau tukiwa hapa Jukwaani, bila ninyi hakuna chochote kinachoweza kulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee. Good to see you mtaasisi mwenzangu Nyagei na wadau wote

Niambie mkuu nsekwa
Itakuwa umeimbiwa weweAwwwsantee binamu
hii nyimbo kama nimeimbiwa mie
Nimekumis, habari za Manyara vipi?Niambie mkuu nsekwa
Ebu geuka basi na mie nahisi kabisa kaniimbia mie yaan kama nilimpa historia yanguItakuwa umeimbiwa wewe