Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa mkuuAsante mkuu
Sawa mkuuAsante mkuu
Unajua kwanini anajua we ukioa utaacha kumpelekea vizawadi maana utakuwa na majukumu yakoYaan anko angelikuwa na point kama hizi mbona ingelipendeza sana
Ahahhaa yaan weweMapenzi mubashara
Ndo naoaa sasaUnajua kwanini anajua we ukioa utaacha kumpelekea vizawadi maana utakuwa na majukumu yako
Niachieni mama yangu jamanMungu aliumba Adam na hawa,
Na wala mungu hakuumba adam na huyu
Na pia ana msongo huyo mukongo wake kamuacha soremba kwahiyo muache ajifariji
Liniii ndio mana hupati babe ujue watu wanaangalia avatar sasa nani anataka kutishwa jaman![]()
![]()
marekebisho yanafanyika itatoka
Liniii ndio mana hupati babe ujue watu wanaangalia avatar sasa nani anataka kutishwa jaman

Usinambie unawaza ya wozaapuu
Safi.. niambie mndali.Oya bro vp
Kibwengo kakimbilia wapiSafi.. niambie mndali.
New couple in kapuku tehNew Couple?
Dada nimesikitika kidogo sio sana haiwezekani Lion Lee umwite shemeji mke wake mmwite WiFi hizo ni taratibu za wapiNipo hapa kuna nini kwani jaman
Kweliiii shem nani anataka kutishwa
Aibu tena?Mpendane kweli kwelii isiwe bongo movie jaman aibu nitaona mie mjue
AhahhahaUsinambie unawaza ya wozaapuu
Jitahid upatike kabebito.. na mtoto wenu wa kwanza gharama zote ni juu yangu, kuanzia mavazi na kusoma.. kama mtaniruhusu malezi na makazi itakuwa poa.Na nimelala kweliiii