Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Karibu mamy
Karibu mamy
KashalewaaaJaman ankoo ni nin ivo
Ebu niachee we babu...yaani hata mimi nashangaa yameanza lini, itakuwa sasa hivi tu. Sasa nipe mchakato sherehe itakuwa wapi?
Ninakuja na BH
Haha ndo nshaguna ivooHujaguna bado bibie
Challenge ipiiii je angekukubaliSijatongoza humu nilikuwa nampa challenge bwana mdogo lee
Nani tenaKuna mpya humu ndani madam?
Unawaona wanaume wa jfMhhhhhhhhhhhhh
Sante dearKaribu mamy
Ninaye ni mzuri mno ukimuona utapigwa na shotiKumbe ana mtu
Ipi hiyoooShem nawe hutaki bidhaa adimu ya pili?
Sasa mbona ulikuwa unamsumbua mcuteNinaye ni mzuri mno ukimuona utapigwa na shoti
Love u my swtieBeby huyoo![]()
Angekubali ningemwambia nina mke labda awe mcheps tuChallenge ipiiii je angekukubali
Lyon lee na ABJ wamefunga ndoa lini?Nani tena
Wewe wa wapi?Unawaona wanaume wa jf
Jisikie upo huru bibieSante dear