Makapuku Forum

We ndio wa kwanza usiyenipenda na siku ya kuachana na anko wako utafunga na kigodoro


.....sio kigodoro tu, nitaenda msikitini na kutumia sipika za masijid kutoa tangazo la na nitaenda serikali ya mtaa na kushusha bendera nusu mlingoti halafu naenda kwenye geti la pale ikulu nakojoa
Halafu narudi kambini hapa mizinga kunywa bia za bei chee , nitakukaribisha maana sipendi kabisa umuache anko wangu.
Nitakosa Cha kuongea jamani, usifanye hivyo
 
Ankoooooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…