Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Ina mvuto gani inatisha hivyo jamanHaina mvuto et.....
Ina mvuto gani inatisha hivyo jamanHaina mvuto et.....
Mfyuuuuuuuuu...anko, unakimbia kuangalia maua au huyapendi maana hata mfalme Suleiman alipenda kuangalia sana maua.
Maua mazuri yapendeza kuona, yana harufu nzuri ya kupendeza, mauaaaaaaaa , mauaaaaaa, mauaaaa yapendeza kuona. Unaruhusiwa kuyanusa maua
Me nimesema nataka mauwa....anaenda kukununulia maua labda
Mh! Halafu ukishaona?!..avatar yako nayo inaleta wahaka, hebu ondoa hicho kinguo cheupe nione maua mengine
Duuuhmgeni kapeperushwa na Mndali ndanyelakakomu mimi wala sihusiki. Au yuko chuo, kifurushi cha college kimeisha
Mh! Halafu ukishaona?!
Hahhahaa wakwake ni nani huyooSema mda mwingine usimsikilize sana najua atanionea gere kupata mcute kuliko wa kwake
Nilimfata mcute wanguUnaenda wapi eti
Nipo anko...anko, unakimbia kuangalia maua au huyapendi maana hata mfalme Suleiman alipenda kuangalia sana maua.
Maua mazuri yapendeza kuona, yana harufu nzuri ya kupendeza, mauaaaaaaaa , mauaaaaaa, mauaaaa yapendeza kuona. Unaruhusiwa kuyanusa maua
Anao wengi ila wa humu ni husnaHahhahaa wakwake ni nani huyoo
Ndo anko sema mda huu nahisi ameshalewaUgeni Shida obe
Hahahaha Aa Hongera zakeAnao wengi ila wa humu ni husna
Nambie baby hope waendelea vizuriHahahaha Aa Hongera zake
Muulize wifi yako shunie![]()
![]()
![]()
akusikie
Hongera zakeNdio hivyo na yeye ameshapata
Yaah bby niko Poa sanaNambie baby hope waendelea vizuri