Sio kweli jamaa kwahiyo na g string pia ni za watoto
Ebhu niache na kesho zile namba nampa yule muuza vipodoz
Ahahahha ebu niache banaHuniamin
Niacheee na picha ya kuku hivi una ninii lakini...huna haja ya kubeba nyama kabisa, wewe piga picha nyama choma umtumie. Anko mkubwa alimtumiaga picha ya kuku, hatukulala humu kisa picha ya kuku
Pambana na hali yako au muulize mpendwa wakoG- string ndo nini? Zinafana a G-spot au zinauhusiano na G Nako wa wateule family yule rapa wa Arusha.
Jamani mbona mimi nakuwaga wa mwisho kuelewa mambo mazuri, hebu nifafanulie
Ebu ngoja kwanza huyo anko wako wa massage ya body to body ni baba d wangu mm auMuziki: Tabasamu la Sifa
Ni siku nzuri tena, na ndo inaishiria na niseme kweli. Sitojisikia vema kama sijakusalimia wewe kapuku mheshimika. Ujue nini, Jukwaa hili ni sehemu nzuri kwa sababu tu wewe uko hapa na si vinginevyo. Asante kwa uwepo wako na ama baada ya salamu nikukaribishe kwenye kipengele hiki cha muziki. Unajua huwa ninachagua muziki ninaoupenda kwanza ndo unakuja unaochagua wewe.
Leo itakuwa ni tofauti, kwanini, usiulize kwanini maana kwanini ni mwanzo wa ugomvi. sababu ya mimi kuandika leo ni kupongeza alichofanya anko wangu, ni kitendo cha kiungwana sana maana aliposikia Dr Luiz Shika kakosa mdhamini yeye kampigia simu inspector wa central, kesho tutakuwa na dr Luiz shika hapa jukwaani. Itapendeza sana. Ila nimejaribu kuangalia ukarimu wa anko wangu na kugundua makubwa sana, kumbe anajitahidi kuficha msala uliomkuta ugenini baada ya kupigana akitaka kurudishiwa hela zake kwa huduma mbovu za masaji alizopatiwa, yeye kazoea body to body massage huko kapewa tofauti alidhani yuko Sinza
Muziki sasa, karibu ABJ , hapa utafurahia maana wewe utakuwa sehemu ya watu wema wote tuliomo humu hata mjomba wangu. Halafu kingine, nina mpenzi anayejulikana humu, ila hilo lisikukatishe tamaa endapo utaniona nakuja kukujulia hali. (maneno haya sio yangu ni ya mjomba)
Niwie radhi mkuu wa kaya..duh, nishakuwa Dr Luis Shika tajiri wa taifa zima, Itapendeza sana ukijitokeza na kufuta kauli yako kwa mpenzi wangu
Jamani mtuaache na ubachelor wetu. Soon tutakuwa na ma phd.. nyie endeleeni kubebika tu.
Ss hatumlingishii mtu tushindwe kubebika kisa humu ndani kuna mabachelor wazoefu
Niwie radhi mkuu wa kaya..
Hapana, naskia msukuma mwenzake anataka kumsamehe.. ile ya daddy is coming...nasikia wewe ndiye umemuwekea dhamana dr Shika
Nakusubiri tule...BH, umeshakula? Leo najisikia mahaba tu ya kukuuliza kama umekula
Asante ObeMuziki: Tabasamu la Sifa
Ni siku nzuri tena, na ndo inaishiria na niseme kweli. Sitojisikia vema kama sijakusalimia wewe kapuku mheshimika. Ujue nini, Jukwaa hili ni sehemu nzuri kwa sababu tu wewe uko hapa na si vinginevyo. Asante kwa uwepo wako na ama baada ya salamu nikukaribishe kwenye kipengele hiki cha muziki. Unajua huwa ninachagua muziki ninaoupenda kwanza ndo unakuja unaochagua wewe.
Leo itakuwa ni tofauti, kwanini, usiulize kwanini maana kwanini ni mwanzo wa ugomvi. sababu ya mimi kuandika leo ni kupongeza alichofanya anko wangu, ni kitendo cha kiungwana sana maana aliposikia Dr Luiz Shika kakosa mdhamini yeye kampigia simu inspector wa central, kesho tutakuwa na dr Luiz shika hapa jukwaani. Itapendeza sana. Ila nimejaribu kuangalia ukarimu wa anko wangu na kugundua makubwa sana, kumbe anajitahidi kuficha msala uliomkuta ugenini baada ya kupigana akitaka kurudishiwa hela zake kwa huduma mbovu za masaji alizopatiwa, yeye kazoea body to body massage huko kapewa tofauti alidhani yuko Sinza
Muziki sasa, karibu ABJ , hapa utafurahia maana wewe utakuwa sehemu ya watu wema wote tuliomo humu hata mjomba wangu. Halafu kingine, nina mpenzi anayejulikana humu, ila hilo lisikukatishe tamaa endapo utaniona nakuja kukujulia hali. (maneno haya sio yangu ni ya mjomba)
....unataka cha shilingi ngapi, maana sio tu useme upatiwe chochote kumbe mfukoni una nauli tu ya kurudia kwenu
Mmh....labda BH ataniita baby!! Maana ukweli usemwe Husna wangu hajawahi kuniita baby, ananiita jina langu tena lile la ukoo kabisa utasema tumezaliwa tumbo moja