Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Hongera kwa kuwa mkubwa na kumiliki mtoto mzuriSema mda mwingine usimsikilize sana najua atanionea gere kupata mcute kuliko wa kwake
Hongera kwa kuwa mkubwa na kumiliki mtoto mzuriSema mda mwingine usimsikilize sana najua atanionea gere kupata mcute kuliko wa kwake
We vp[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dada tabia gani hii ya kumwambia shemeji awahi kurudi[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] baba wawili leo uwahi kurudi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mgeni ndio kila siku mnamringishia shem wangu na mahaba yenu na yeye kapata bae
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mgeni ndio kila siku mnamringishia shem wangu na mahaba yenu na yeye kapata bae
Duuuh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ss hatumlingishii mtu tushindwe kubebika kisa humu ndani kuna mabachelor wazoefu
Kweli shem jamaan [emoji134]♀️Kwani uongo??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hongera kwa kuwa mkubwa na kumiliki mtoto mzuri
Namuandalia suprise akichelewa itachacha kakaDada tabia gani hii ya kumwambia shemeji awahi kurudi
Hebu uko niacheWe vp
Kweli kaka akee kwani ye hana moyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ndio hivyo na yeye ameshapata[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ss hatumlingishii mtu tushindwe kubebika kisa humu ndani kuna mabachelor wazoefu
Suprise ya kuchacha ni ninii hiyo etiNamuandalia suprise akichelewa itachacha kaka
Kwani nmefanya vbya[emoji85] [emoji85]
Wifi yakoSalama
Karibu nyumbani
Ndio umefanya isivyo takiwa ni kama unatoa amri tumia lugha ya ushawishi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Namuandalia suprise akichelewa itachacha kaka
Kwani nmefanya vbya[emoji85] [emoji85]
Shem walahi kesho nabeba tangawizi ...Mgeni ndio kila siku mnamringishia shem wangu na mahaba yenu na yeye kapata bae
Hata hivyo nimempa pongezi yakeKweli kaka akee kwani ye hana moyo
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Suprise ya kuchacha ni ninii hiyo eti
Asanteee amezipokeaHata hivyo nimempa pongezi yake
Shem nimeshapona jamanShem walahi kesho nabeba tangawizi ...