Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Zaidi ya raha
Sema huku kuna anko wangu anaitwa Obe najua atakupokea vzuri japo mda huu katekwa na anayejulikana
...anko, sikutekwa na anayejulikana, nilikuwa hapa kikosi cha mizinga nimechelewa mara paap husna muba akanipigia simu kuwa nisichelewe