makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,783
- 103,758
Haya mrs dr. Luis shika...Sio km mapunye, ni mapunye
Haya mrs dr. Luis shika...Sio km mapunye, ni mapunye
Mashiringi si ni mahela!!Mashiringi
hilo pozi sasa,Kama husna muba kaona missed call ya blessedhope kwenye simu ya obe..![]()
![]()
![]()
Au kama shemeji yangu tumosa anajiandaa kusema tununu..![]()
![]()
![]()

Hope umeamka Salama mwambie Mdau aje Kule Kitu kilisha iva
Ila Chonde chonde Pumba kwa Kuku wengi

We nawe kelele kibao![]()
mpaka asa hv patupu
VP wewe?
Mxiiew kichwa chakoNa ile uwiii ungeiandika km hivyo tungeiona tu
Amen have a Great dayMy lovely Mom, love you more!!!! Be blessed Mom!!!
Husna ananikosha jaman, afu mbona wewe umepotea hivyo sasa hiviMbona hivi jamaan
Same to you Mom dearAmen have a Great day
Kuqoute hadithi![]()
![]()
kosa langu ni nini tena tumosa
Sasa nitafahamu vipi wakati wewe hujanipa taarifa ila usijaliKumbe ulikua hujafahamu..?
Humu wote wanafaham Sorry sana..
AmenKaribu Love,ubarikiwe sana mum![]()
![]()
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 630615Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa