Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kesho nenda kwa husna muba mwambie kuwa mama yako alikuwa anamtafuta obe jana usiku hapatikani.. pozi utakaloona ndio ninachozungumzia..
hilo pozi sasa,Kama husna muba kaona missed call ya blessedhope kwenye simu ya obe..

Au kama shemeji yangu tumosa anajiandaa kusema tununu..
 
"Yesu aligeuka, akawaona wakimfuata, akawaambia, Mnatafuta nini? Wakamwambia, Rabi, (maana yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni, nanyi mtaona. Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Nayo ilikuwa yapata saa kumi.”

Yohana 1:38-39.

Asante Mungu Baba kwa Neno lako asubuhi ya leo.

Yamkini mimi na wewe tungemwona Yesu macho kwa macho tungetamani kumfuata na kujua anapokaa, na hata yawezekana tukahamishia makao kwake, Sisi hatuna haja tena ya kumfuata Yesu mpaka anapokaa.

Neno linasema Yesu anakaa ndani yetu na sisi ndani ya Yesu.

Swali ni hili kwetu asubuhi ya leo

Je? Unamfuata Yesu unatafuta nini?

Mwambie Yesu kile unachotaka na asubuhi ya leo hakika utapokea kwa jina lake takatifu.

Kama aliwapeleka wale waliokuwa wanamfuata wakapaone anapokaa, kwa nini asikutendee wewe na mimi??

SIKU NJEMA KWENU MBARIKIWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom