Ahsante mkuuView attachment 630615Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa
Tubarikiwe sote Bless UAsante mama mchungaji kwa neno la uzima
Ubarikiwe sana

Tunamshukuru sana Mungu,mimi mzima nimeamka salamaNatumaini mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa makapuku wote
ubarikiweAsante Shululu na shemeji yako Mndali kaka yangu pia MbarikiweTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mndali

Mungu akubariki sana sana asante kwa magazeti mkuu ShululuView attachment 630615Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa
Pamoja sana mkuuAhsante mkuu
My lovely Mom, love you more!!!! Be blessed Mom!!!My baby girl Love u,Bless U![]()
![]()
HakikaJaribu Kufikiria kwa Jicho la Tatu
Ni makosa sana kwako kukata Tamaa kisa tu huna Mafanikio
Tambua kuwa Kuna Watu Wameajiriwa kwa Kazi ya Kuwafundisha Watu Jinsi ya Kujiajiri
Huenda Bado hujajua ni wapi Unatakiwa kuwa
Usikate Tamaa
Najua mama kazana hivyo hivyo babe babeeee
mpaka asa hv patupuMsamehe bure tuLiniii alisoma huyo yaan kaniuzi aisee huyo mwanaume aliyequote
Muziki: Matendo ya Wema (Acts of Good)
.....siongelei matendo ya yule mwenye jina la Wema, mrembo wa Tanzania. Hakuna ubishi huyu ukiacha umaarufu wa 'dada' Mange hide my ID, Wema anabaki kuwa miss Tanzania wa ukweli sio kama wale mamiss wengine ambao walienda kule Mwanza kwa mjomba wangu wakawashangaza watu wa kule akiwemo mjomba wangu ambaye alisikika akisema kwa sauti miss Tz gani hana hata kalio (hakutamka kalio-alitamka jina sahihi la kalio, unazijua zile tacos za kimexana unakunywa na jamba juice?).
Naongelea wema wa matendo, usipende kujiumiza na kuumiza wengine, hisia wakati mwingine hutudanganya kama hakuna uhalisia. Unaweza ukajifananisha na rafiki wa anko wangu anaitwa Dr Shika ambaye yeye hana shida ya kununua nyumba inayopendeza zaidi kwa mia tisa tu. Ukimuona mtu ana njaa na una chakula usiache ashinde na njaa, hakuna bingwa wa njaa. Ukimuona mtu hatabasamu, wewe tabasamu na utamfanya awe na siku nzuri. Fanya matendo mema na siku zote utakumbukwa kwa uzuri na si matendo mabaya yanayokuharibia sifa yako nzuri.
Muziki sasa, ni Jumatatu leo na nikushukuru sana wewe Kapuku mheshimika (hata wewe unayeitwa baby na mpenzi wangu mwenyewe) kwa kuwepo hapa. Ujue nini, MF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe upo hapa. LLL
jamani mpenzi mi sijamaanisha namtania tuKwahiyo we ndio mpiga debe?Imemzidia nguvu ndio maana anahitaji back up kwa mzee mwenzake.
Sio km mapunye, ni mapunyeKama mapunye hivi..![]()
![]()
We akili yako inakuaminisha vipi!?Kwahiyo we ndio mpiga debe?