mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Heshima yako mtu gani
Hope umeamka Salama mwambie Mdau aje Kule Kitu kilisha iva
Ila Chonde chonde Pumba kwa Kuku wengi
Heshima yako mtu gani
Amen"Yesu aligeuka, akawaona wakimfuata, akawaambia, Mnatafuta nini? Wakamwambia, Rabi, (maana yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni, nanyi mtaona. Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Nayo ilikuwa yapata saa kumi.”
Yohana 1:38-39.
Asante Mungu Baba kwa Neno lako asubuhi ya leo.
Yamkini mimi na wewe tungemwona Yesu macho kwa macho tungetamani kumfuata na kujua anapokaa, na hata yawezekana tukahamishia makao kwake, Sisi hatuna haja tena ya kumfuata Yesu mpaka anapokaa.
Neno linasema Yesu anakaa ndani yetu na sisi ndani ya Yesu.
Swali ni hili kwetu asubuhi ya leo
Je? Unamfuata Yesu unatafuta nini?
Mwambie Yesu kile unachotaka na asubuhi ya leo hakika utapokea kwa jina lake takatifu.
Kama aliwapeleka wale waliokuwa wanamfuata wakapaone anapokaa, kwa nini asikutendee wewe na mimi??
SIKU NJEMA KWENU MBARIKIWE![]()
Asante mama mchungaji kwa neno la uzima"Yesu aligeuka, akawaona wakimfuata, akawaambia, Mnatafuta nini? Wakamwambia, Rabi, (maana yake, Mwalimu), unakaa wapi? Akawaambia, Njoni, nanyi mtaona. Wakaenda, wakaona akaapo, wakakaa kwake siku ile. Nayo ilikuwa yapata saa kumi.”