Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Labda mbele yako.Sakayo hatazifikisha hashiki pombe
Ila huku nyumbani yeye huwa anatoa mzigo kwenye buti na kuweka kwenye Fridge.
Labda mbele yako.Sakayo hatazifikisha hashiki pombe
Kheee binamu mutu ya msumbijiMbona ww raia wa msumbiji hatujakusema
Uwiiiii sio sakayo ninayemjuaLabda mbele yako.
Ila huku nyumbani yeye huwa anatoa mzigo kwenye buti na kuweka kwenye Fridge.
Moja bilaKafunga ngapi?!
Ndio umuulize mpendwa wakoTangu ln kawa mkewe?!
Shindwaaaa.....ni Mke pia
Mfyuuu...shangaa na wewe maana mimi nimeshangaa sana utasema nimeona pikipiki inarudi rivasi
Nawapenda njenje mie palm beach aisee binamu una bahati ningekupa tusi sababu umeweka wazee wa mduara nakusamehe mfyuuMuziki: Sunday Mduara
Ninaamini kabisa ushapangilia wiki hii iweje upande wako na wanaokuzunguka. Mimi wikend ilikuwa nzuri sana na inaendelea kuwa nzuri maana kuna mambo mazuri yametokea na mojawapo ni la kukuona wewe hapa Jukwaani. Asane sana kwa kuwepo hapa. Mbarikiwe sana mlioenda masjid Jumaa ya jana, kanisani Jumamosi na kanisani Jumapili. hongera kwenu mlioenda nyumba za ibada na bado mkawa na muda wa kwenda bar kunjenga uchumi wa nchi, ya kaisari mpeni kaisari. wenye ratiba za kibaiolojia wikend ndo muda mzuri wiki hii kujenga mwili.
Nilikuwa na anko mkubwa tunatazama soka hapa Chelsea akifanya mauaji ya kimbari (naelewa it sound not okay, lakini hapa maana ya kimbari ni ya kisoka zaidi si yale mauaji ya watu 800,000 kule Rwanda) kwa timu ya Man U. Hongera pia Arsenal kwa kilichowapata, ndo maisha na huu huwa ni mwezi wenu.
Muziki sasa, tulipiga story kidogo na anko zaidi akitaka mbinu za kujieleza namna akirudi kwa aunt yangu maana inaonekana majirani wameanza kung'amua kuwa hayupo kwa mkewe. Nikaskuti weee, ushauri wangu akabaki ananitolea macho tu maana ushauri nilioutoa hakuamini kama unaweza kutoka kwangu mimi mtaasisi na mshauri nasaha napima kwa macho. Anko tuwaroge majirani wasiseme ulikokuwa umetekwa. Punguza miduara upate mzingo
Ndio huyo muulize..Uwiiiii sio sakayo ninayemjua
Asante shem wanguZimefika nipo naye hapa
Aiseeeeee sitaki kuaminiNdio huyo muulize..
Keshakuwa kama T sasa hivi.. sema kunywa ndio amesema hatokaa aguse lips zake na Pombe.
Mume na mke hufanana wakisha ishi pamoja...Aiseeeeee sitaki kuamini
Hapana jaman sio kwa sakayo wangu sitaki kuaminiMume na mke hufanana wakisha ishi pamoja...
Hujui hilo pia?
She is totally immersed and Converted.Hapana jaman sio kwa sakayo wangu sitaki kuamini
Aiseee kweli mapenzi yana nguvu ebu ngoja nitarudiShe is totally immersed and Converted.
Hahaha.Aiseee kweli mapenzi yana nguvu ebu ngoja nitarudi



Mtu gani huna mkeee kama huna mke kumbatia mito hakuna namna kabisa
Arsenal