Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,826
Hlo jukwaa ndo la chini eeeh
Cc Obe
....yeah, kule chini kabisa chemichemi inapoanzia
Hlo jukwaa ndo la chini eeeh
Cc Obe
Hilo hilo mpaka anko ana id special ya kule
Mzima kabisa Sakayo hajamboMzima wewe?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]....yeah, kule chini kabisa chemichemi inapoanzia
Baba yako kwa mam huyo
Najua lakini kwa nini hanieshimu mtoto wa mkewe
D yupiiiii D wangu na hizo mambo tofauti mtoto huyuD anakuletea...
Dada yako anakusalimia
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Shangaa sasa, yaani anajitamkia maneno tu na hajui hasira zangu zinamuangukia mama yake
Jamaan we binamu una nini lakiniii.....nakuheshimu sana, hukumbuki nikimwambia mama yako uache kuvaa kandambili maana wewe sio shabiki wa Yanga
Shemela mimi si shabikii wa Yanga wala simba, nipo nipo tu
Mimi zangu ni majuu tu
Kunawatosha wenyewe
D wa pale Suppermarket bhana..D yupiiiii D wangu na hizo mambo tofauti mtoto huyu
Mimi napiga za baridi mkuu...ile ya baridi hadi inatoa jasho
Story bila arost hainogii[emoji1] [emoji1]Husna anatutesa jaman
Nimetupia 3 leohusna mamii tuendelee basi
Baby wa Binamu Upo?Story bila arost hainogii[emoji1] [emoji1]
MmhD wa pale Suppermarket bhana..
Yule wa Dompo.