makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,901
- 104,146
Ushakunywa ulanzi nin dada yangu, maana huchelewi na kibaridi hiki hebu sogea hapa ninuse mdomo.Cc.sweetpie

Ushakunywa ulanzi nin dada yangu, maana huchelewi na kibaridi hiki hebu sogea hapa ninuse mdomo.Cc.sweetpie

Ndio inanyesha ,ila kwani we kakwambia nani?!Nasikia mbagala mvua inanyesha sana huko

Babby wangu gani!?Iko njema, baby wako alikuja![]()
Mmh wee urongo huoooHawezi ban kwa kumtukana mpenzi wake hawezi pewa
Ushakunywa ulanzi nin dada yangu, maana huchelewi na kibaridi hiki hebu sogea hapa ninuse mdomo.![]()
![]()

Ujue sasa hiv nmerud kwa heshima na taadhima dada husna, sitaki uchokozi. Usinisakr ya rohoni ohoooIko njema, baby wako alikuja![]()
Huyo niliemtag hapo juuBabby wangu gani!?
Salam tu shunie, sijui wewe na wengine humuZa kupotea maka jaman
We mtoto wa kike naona adabu unataka zikacheze picha za x sasa.. sitak ugomvi dada husna..Huyo niliemtag hapo juu

Sijui nisemaje, kwani we shemela unawajua wangapi mpendwa!?Una mababy wangap kwan![]()
![]()
Kuna mtu amekuja juzi kajtambulisha kama mbebe wako sasa unapouliza yupi tunapata shaka huenda kuna folen hkoSijui nisemaje, kwani we shemela unawajua wangapi mpendwa!?
Morning jiraniMorng mabibi na mabwana, vangosha na vankima, malediz na majenteromenj... Mc u mnooo
Foleni hakuna, huyo aliyejitambulisha labda kanizimikia tu, nyie mmeamini vipi..Kuna mtu amekuja juzi kajtambulisha kama mbebe wako sasa unapouliza yupi tunapata shaka huenda kuna folen hko
Niaje mwifwaMorning Kapuku
Vip hali jirani yangu!?Morning jirani
Nzuri jirani, za siku mbili tatu hiviJirani habar ya wewe..
Niambie mama JJBaba wawili![]()
![]()
Foleni hakuna, huyo aliyejitambulisha labda kanizimikia tu, nyie mmeamini vipi..
Toka unijue shemej ushawahi kunisikia mie nina mchezo mbaya!!?
