Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hapo sawaMmcpo upande wa binamu mke mweee
Hapo sawaMmcpo upande wa binamu mke mweee
....nakupenda sana wewe mrembo hadi natamani nitukane tusi kuuubwa kuelezea namna navyokupenda na siwezi kula nikashiba bila wewe, usingizi sipati nakuota wewe. Ukikohoa mimi natema, ukipata mafua mimi napatwa na pumu

Akutukane basi jamani
Ahaa poa natupia HV pundeKheee me hata sisomagi episode niliishia tu yule rafiki yake zaituni alikufa india
![]()
![]()
wanonunua pombe ndo wanatumia vzr pesa zao
HBD Arnold Jensen1837 - Mtakatifu Arnold Janssen, padre Mkatoliki kutoka Ujerumani alizaliwa
RIP Bibi Titi Mohammed2000 - Bibi Titi Mohammed, mwanasiasa wa Tanzania alifariki
Asante husobeNa hapo ndio mwisho kwa Leo
Nawatakia mvua njema wanadaisalama wote
AiseeWatu wanajenga aiseee
Aiseeee......una ushauri mzuri sana hadi nahisi ulikuwa kwenye ile timu ya majadiliano ya makinikia
Mijengo mingine unaweza usilale ndani, unahisi muda wowote unamezwaWatu wanajenga aiseee
Mwandisho haupo makini... Kamuazime umakini kaka yake na niki wa pilk.Ile story sijui niliishiaga ngapi vilee![]()
![]()
![]()
![]()
Maka weeeehMorng mabibi na mabwana, vangosha na vankima, malediz na majenteromenj... Mc u mnooo