Makapuku Forum

Makapuku Forum

...nishakuwa mzee tayari eeh, ngoja Husna wangu aje hapa akujibu na ataishia hapa kusoma, sentensi inayofuata imejiandika




...au muulize BH kama mimi ni mzee kivile mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee
Sasa binamu we si mupenzi wa mama angu lazima nikuite mzee
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Sasa binamu we si mupenzi wa mama angu lazima nikuite mzee
giphy.gif
 
...mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee, nitaliongea hili mara ngapi. Mbona mnataka kuniharibia furahiday yangu.
Msifanye siku hii iwe ngumu, ukipenda niite baby niongeze siku za kuishi
Baby bongo we mzee
 
binamu nakunywa hivyo nikiwa na mastress tu jamaan mbona me mlokole

...okay, mimi wala sikubishii, sasa bado unataka hii kinywaji au umeghairi? Ijumaa leo usichelewechelewe sana, nina ratiba nyingi za kijamii na kibaiolojia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom