Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri wa hii, ukifika wakati wa kuifua unaifua kwa adabu sana, sio kujidau unajua kusugua na kupakaa sabuni kama unasugua kola
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri wa hii, ukifika wakati wa kuifua unaifua kwa adabu sana, sio kujidau unajua kusugua na kupakaa sabuni kama unasugua kola
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji57] [emoji57] [emoji57] akuuu
Hongera sana sikujua ati...Ni my love huyoo
Sawasawa binamu...usifikiri ninamuongelea rais wa nchi wewe, nikiwa napiga vyombo furahiday akili yangu huwa iko makini sana na sikufichi mitihani yangu ingewekwa siku za Ijumaa nisingeweza kuwa narudiarudia madarasa.
namuongelea rais wangu wa club ya draft, mimi ni raia wake
[emoji106] [emoji106]Keshooo
Tulikumiss jamaanHongera sana sikujua ati...
Kho kho khoAsante kwa kuniombea, baraka ziwe nawe pia. Hujambo lakini BH
Hongera sana sikujua ati...
Kho kho kho
Mmh emmyguy na sweetpie tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee unakumbu kumbu ujuewaliondoka kipindi kimoja na wala sijahusianisha matukio ya kijamii
Naomba kinywaji basi mbona mchoyo hivyo...wewe jikoholeshe tu kama umekula ndizi za pilipili mbuzi. nakuangalia tu
Naomba kinywaji basi mbona mchoyo hivyo
Abeeeh [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Mke mweee[emoji7] [emoji39] [emoji39]
[emoji15] mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee unakumbu kumbu ujue
Heinken binamu ya baridi sana jamanUngependa kinywaji gani, ujue wewe kwa namna navyokupenda aunt yangu chochote kinywaji utakachosema natekeleza
Kwani binamu sio mzee jaman [emoji41][emoji15] mzee
Umeshindaje,vp makaburi ya wasio na hatiaAbeeeh [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]