Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
UmeulizwaaNi my love huyoo
Muziki: Mazuri Mengi Karaha?
...naanza kizungu leo maana naamini kama si wazazi wangu wakati wanafanya yao kunisaka (sikuzaliwa kwa bahati mbaya- ndo maana hata jina nililopewa sio la bahati mbaya) walikuwa tingasi au mimi muda huu niko tingasi. Utajaza mwenyewe, achana na ninachowaza, mimi sio wewe na wewe sio mimi na kwa kuwa tuko tofauti basi tofauti zetu ndizo zinalifanya jukwaa hili kuwa zuri kwa sababu kila mmoja analeta tofauti zake na tunafurahi. You know warra amsaing'i!
We have seen a drastic change in technology in our everyday lives, most of us and especially you Kapuku, owns a smartphone or a related device. Some, like my good uncle has more gadgets, to make his business easy and fit his polygamous life style. Jokes aside, I wanted to share this insight, is technology too much of a good thing? Phones for instance, have changed our routine, the way we interact with each other. The first thing we do when we get up is check our gadgets, trying to post stuff to our FB, JF, Tweeter and so many accounts. None cares about interacting face to face but instead through our screens, screen touches. It has been found that we check our phones every 3-5 minutes, only a minute man is safe when copulating and too bad for sexting.
Usikione hicho kiinglish hapo juu, nimehangaika nacho wiki nzima nakinuia na nilipojigikia Kitwanga zangu tatu muda huu huku nafurahia shoo za bakulutu ndo nikamshitua anko kama anaweza kusaidia kunitafutia title ya kuweka kwenye muziki. Nilikosea sana kumuuliza anko maana alikuwa kazungukwa na mkimbizi haramu toka kanda ya kaskazini. Nikasema sijui nimstue aunt yangu, nikakumbuka unaona kibanzi jichoni kwa mwenzio ilhali una boriti jichoni kwako, maana siko peke yangu hapa.
Muziki sasa, wadau pamoja na kuwepo kwa hii technolojia hasa smartphone hebu turejee zama za kupishana story tunapokuwa maeneo ya pamoja. Unakuta kwenye basi tunaenda zetu Mtwara kila abiria kashika simu na hakuna maongezi, hii inafanya tendo la kujamiiana kuwa gumu sana, na kuwafanya madomo zege kuwa mabingwa wa kutongoza kwa vidole. Uwe na wikend njema
Tafadhali binamu hujatutolea ada kwa rasi simba cio mambo ya kuleteana shida hapa
Sawa sawa....rais angeweza kwenda pale na yeye kujifunza kizungu lakini kwa kuwa katangaza elimu bure na ras simba anatoza hela basi tubaki hivyo hivyo, komoa nikukomoe
Muziki: Mazuri Mengi Karaha?
...naanza kizungu leo maana naamini kama si wazazi wangu wakati wanafanya yao kunisaka (sikuzaliwa kwa bahati mbaya- ndo maana hata jina nililopewa sio la bahati mbaya) walikuwa tingasi au mimi muda huu niko tingasi. Utajaza mwenyewe, achana na ninachowaza, mimi sio wewe na wewe sio mimi na kwa kuwa tuko tofauti basi tofauti zetu ndizo zinalifanya jukwaa hili kuwa zuri kwa sababu kila mmoja analeta tofauti zake na tunafurahi. You know warra amsaing'i!
We have seen a drastic change in technology in our everyday lives, most of us and especially you Kapuku, owns a smartphone or a related device. Some, like my good uncle has more gadgets, to make his business easy and fit his polygamous life style. Jokes aside, I wanted to share this insight, is technology too much of a good thing? Phones for instance, have changed our routine, the way we interact with each other. The first thing we do when we get up is check our gadgets, trying to post stuff to our FB, JF, Tweeter and so many accounts. None cares about interacting face to face but instead through our screens, screen touches. It has been found that we check our phones every 3-5 minutes, only a minute man is safe when copulating and too bad for sexting.
Usikione hicho kiinglish hapo juu, nimehangaika nacho wiki nzima nakinuia na nilipojigikia Kitwanga zangu tatu muda huu huku nafurahia shoo za bakulutu ndo nikamshitua anko kama anaweza kusaidia kunitafutia title ya kuweka kwenye muziki. Nilikosea sana kumuuliza anko maana alikuwa kazungukwa na mkimbizi haramu toka kanda ya kaskazini. Nikasema sijui nimstue aunt yangu, nikakumbuka unaona kibanzi jichoni kwa mwenzio ilhali una boriti jichoni kwako, maana siko peke yangu hapa.
Muziki sasa, wadau pamoja na kuwepo kwa hii technolojia hasa smartphone hebu turejee zama za kupishana story tunapokuwa maeneo ya pamoja. Unakuta kwenye basi tunaenda zetu Mtwara kila abiria kashika simu na hakuna maongezi, hii inafanya tendo la kujamiiana kuwa gumu sana, na kuwafanya madomo zege kuwa mabingwa wa kutongoza kwa vidole. Uwe na wikend njema

Sawa sawa
Asante Obe ubarikiwe![]()
Keshooo![]()
hadithi yetu vp