Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Mwifwa hizo mambo ujue unanitamanisha yaan sijala mda sana mate yananitoka ujue[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] bila mapupu??
Mwifwa hizo mambo ujue unanitamanisha yaan sijala mda sana mate yananitoka ujue[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] bila mapupu??
Ahahhaja yaan weweMama huyoo
Sijambo mimi shem sijui huko ulipoShem darling nakusalimiaa mm
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwifwa hizo mambo ujue unanitamanisha yaan sijala mda sana mate yananitoka ujue
Mpaka niende mitaa ya watu ndio huwa nakutana nayo huku kwetu hakuna kabisa hizo mambo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Karibu mjini
Usijali bana, siku ukija jisevie ya kutosha hadi ukate kiu ya muda mrefuMpaka niende mitaa ya watu ndio huwa nakutana nayo huku kwetu hakuna kabisa hizo mambo
Mimi tena hilo sio la kuuliza kipengele hiko mshipa wa aibu ulikatikaUsijali bana, siku ukija jisevie ya kutosha hadi ukate kiu ya muda mrefu
[emoji7] [emoji7]Mama huyoo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Lol!Mimi tena hilo sio la kuuliza kipengele hiko mshipa wa aibu ulikatika
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] wapYa usku
Huwa Unakula mapupu mke mweeeMwifwa hizo mambo ujue unanitamanisha yaan sijala mda sana mate yananitoka ujue
Kidogo umpe makavuAhahhaja yaan wewe
Hapana Mama huyo siwezi hata iwe vipiKidogo umpe makavu
Sanaaaa mke mwee wa ushuani nyie hamvijui hivyo yaan nimeyamiss na chapati zangu kadhaa na pili pili na ndimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] aiseeHuwa Unakula mapupu mke mweee
Una taarifa yoyote?Sijambo mimi shem sijui huko ulipo
SinaUna taarifa yoyote?
Na wewe tupw basi ile ya kwetu jamanNasubiri ifike mwisho ndio niisome
Kwelii ??Sina
Unajua me siwezi kukudanganya nipo serious sina taarifa yeyoteKwelii ??
TutakupigiaaaUnajua me siwezi kukudanganya nipo serious sina taarifa yeyote