Ahsante sana kwa Font ferd mkuu shululuView attachment 623164Kwa udhamini mnono wa Lee sina la ziada kutoka magazetini
Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu, asubuhi njema makapuku wote
Morning mwifwaMorning Kapuku
Pamoja sana mdauAhsante sana kwa Font ferd mkuu shululu
Na wewe pia uwe na siku njema!!
Mungu awabariki
My love uwe na ijumaa njema
Nakupenda sana mama watoto wangu
![]()
![]()
![]()
![]()
Amina Amina baba ubarikiweMama mchungaji za asubuhi
Uwe na siku njema pamoja na Familia yako
Na Mungu awabariki
Morning Mwifwa ubarikiweMorning Kapuku
Kinachoniumiza hivi mkwe anaweza kuwa kimyaaaa au yuko kusikojulikanaHahahaha mama shunie hajakwambia kuwa sisis mapacha ?
HakikaNatumaini mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa makapuku wote
Ubarikiwe ObeAsubuhi Njema Makapuku, na mjue nini, leo ni furahiday. Tuwe na asubuhi nzuri na mwanzo mwema wa weekend. Enjoy the music, be romantic and parrrrty responsibly na kama huna mmoja usisahau kucondomize mkikandamizana
Mmh kusikojulikana wapi mama jaman mbona me nipo nae kila siku khaaaaKinachoniumiza hivi mkwe anaweza kuwa kimyaaaa au yuko kusikojulikana
Basi ukizungumzia anko wako mdogo useme mdogo sio anko inajulina ni lee...oh, mimi wala, si tulikubaliana nimeacha kumuongelea anko wangu mkubwa? Leo nilikuwa namuongelea anko wangu mdogo, unamjua?
Mimi huwa tukikubaliana kitu ninaheshima sana
Mmh kusikojulikana wapi mama jaman mbona me nipo nae kila siku khaaaa

Umefurahiiii mwenyewe
Shemela maisha yenyewe mafupiUmefurahiiii mwenyewe
Sawa sawa endelea kufurahi shemela ili uzidi kunenepaShemela maisha yenyewe mafupi
Kufurahi ni muhimu
Haswaaaaaaaa shemelaSawa sawa endelea kufurahi shemela ili uzidi kunenepa